Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

270139_10150390672129498_673909497_10026318_5678922_n.jpg

hii pamba
 
7. Twaha hamidu "noriega" - simba
8. Ezeckiel grayson " jujuman"- simba
9. Malota soma "balljugler" -simba
10. Samli ayubu "beki msatarabu" majimaji
11. Madaraka seremani "mzee wa kiminyio" simba
12. Daudi salum " brucelee"- simba
13. Victor coasta "nyumba" simba
14. Saidi swedi "scud" - yanga
15 zamoyoni mogela "Golden boy" - SIMBA
17. Saidi Mrisho "ZIKO WA KILOSA"- Plisner
18 Frenk Kasanga " Bwalia" - Nyota Nyekundu

Nakumbuka wakikutana kati ya Frenk kasanga na Ziko wa klosa ilikuwa RAHA
huyo namba 12 noma hadi akaitwa bruce lee!!!
 
- Abdul maneno "KIbavu" yanga
- Hamis Yusufu "waziri wa ulinzi"
- Alfonce Modest "moto pamba pasi"
- waziri Mahadhi bin Jabir "mandieta"
- Mohamed Husein "machinga"
- Abuu Ramadhan "Amokachi" (sijui yuko wapi huyu jamaa, alikua bonge la fowad
 
Halafu sasa ukute Majina hayo watangazaji ni Juma Nkamia na Swedi Mwinyi enzi za RTD. Hawa Jamaa kwa kurusha Moyo si mchezo mpira upo katikati tayari pumzi zinawaishia kwa kutangaza hatari. Na mpira wa Tanzania ni Mtamu kwenye redio. Hawa watangazaji walifanya watu waupende mpira sana. Siku hizi mmmh!
 
Back
Top Bottom