Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Nyani ngabu minziro aliitwaa majeshi au shemeji au baba isaya.
 
Razak yussuf "careca"

Jumanne shango " mtaalam"
huyu alikua mtaalam wa kutia watu kabali usiku mitaa ya kariakoo gerezani
 
Sanifu Lazaro ''Tingisha''

Maalim Salehe ''Romario''

Haruna Moshi ''Boban''

Bakari Malima ''Jembe Ulaya''

Nonda Shaban ''Papii''

Mwanamtwa Kiwhelu ''Dali Kimoko''

Edward Chumila ''Eddo Boy''

Makumbi Juma ''Homa ya Jiji''

Mohamed Hussein ''Mmachinga au Chinga One''

George Lukas ''Gaza'
 
Duuuu...ukisikia wazee wakisimuliana utasikia mpira ulikuwa zamani bwana...Hivi wote hawa wangapi walicheza soka Ulaya au wahapahapa tu
 
wakuu nmanikumbusha shamba la bibi tulikuwa tunaingia uwanjani fungulia mbwa. Hivi kwa sasa ipo.?
 
Back
Top Bottom