Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Kwanini aliitwa Kizota? Kwa anayefahamu.
Aliitwa Kizota akifananishwa na yalipikuwa makai makuu ya ccm oale Kizota jijini Dodoma.

Miaka ile mwenyekiti wa ccm akiwa Nyerere kuna watu wengi nyadhifa zao zilipotea Kizota.

Ilikuwa kama umefanya kosa ukipelekwa Kizota ni ngumu kuchomoka, mfano kama Rais wa pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe alivuliwa nyadhifa zake za Urais wa Zanzibar pale Kizota baada ya kujaribu kuuvunja muungano.

Hata aliyepata kuwa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Horace Kolimba alipoteza nafasi yake hyo pamoja na mauti kumkuta akiwa Kizota Dodoma.

Sasa wakereketwa wa Yanga wakamtunga jina Said Mwamba jinsi alivyoweza kuwadhibiti na kuwatuliza washambuliaji imara akifananishwa na Kizota jinsi CCM ilivyowadhibiti watu wake.
 
Hahahaha, ufafanuzi murua
 
Huyo namba 12 ilikuwaje akaitwa bruce lee?
 
Maulid Dilunga - Mexico
Hassan Goebos - wa Morocco
 
Kizota haijawahi kuwa makao makuu ya CCM
 
James Tungaraza BOLI ZOZO

MBUMBUMBU hawamsahau huyu mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…