James Gatz
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 301
- 319
Alikuwa mwizi pia?Razak yussuf "careca"
Jumanne shango " mtaalam"
huyu alikua mtaalam wa kutia watu kabali usiku mitaa ya kariakoo gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mwizi pia?Razak yussuf "careca"
Jumanne shango " mtaalam"
huyu alikua mtaalam wa kutia watu kabali usiku mitaa ya kariakoo gerezani
Kwanini aliitwa Kizota? Kwa anayefahamu.Umenikumbusha mbali mkuu, Said Mwamba Nassoro 'Kizota' unajua kwann aliitwa Kizota?
Kumbe Meddie katika Kagere ni ufupisho wa Mohamed?Mohamed Kagere MK14
Ni nani huyu?
YahKumbe Meddie katika Kagere ni ufupisho wa Mohamed?
Yusuph Macho Musso na siyoYusuf Macho ''Fuso''
Aliitwa Kizota akifananishwa na yalipikuwa makai makuu ya ccm oale Kizota jijini Dodoma.Kwanini aliitwa Kizota? Kwa anayefahamu.
Hahahaha, ufafanuzi muruaAliitwa Kizota akifananishwa na yalipikuwa makai makuu ya ccm oale Kizota jijini Dodoma.
Miaka ile mwenyekiti wa ccm akiwa Nyerere kuna watu wengi nyadhifa zao zilipotea Kizota.
Ilikuwa kama umefanya kosa ukipelekwa Kizota ni ngumu kuchomoka, mfano kama Rais wa pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe alivuliwa nyadhifa zake za Urais wa Zanzibar pale Kizota baada ya kujaribu kuuvunja muungano.
Hata aliyepata kuwa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Horace Kolimba alipoteza nafasi yake hyo pamoja na mauti kumkuta akiwa Kizota Dodoma.
Sasa wakereketwa wa Yanga wakamtunga jina Said Mwamba jinsi alivyoweza kuwadhibiti na kuwatuliza washambuliaji imara akifananishwa na Kizota jinsi CCM ilivyowadhibiti watu wake.
Huyo namba 12 ilikuwaje akaitwa bruce lee?7. Twaha hamidu "noriega" - simba
8. Ezeckiel grayson " jujuman"- simba
9. Malota soma "balljugler" -simba
10. Samli ayubu "beki msatarabu" majimaji
11. Madaraka seremani "mzee wa kiminyio" simba
12. Daudi salum " brucelee"- simba
13. Victor coasta "nyumba" simba
14. Saidi swedi "scud" - yanga
15 zamoyoni mogela "Golden boy" - SIMBA
17. Saidi Mrisho "ZIKO WA KILOSA"- Plisner
18 Frenk Kasanga " Bwalia" - Nyota Nyekundu
Nakumbuka wakikutana kati ya Frenk kasanga na Ziko wa klosa ilikuwa RAHA
Ipo kwenye kilele cha siku ya mwananchiwakuu nmanikumbusha shamba la bibi tulikuwa tunaingia uwanjani fungulia mbwa. Hivi kwa sasa ipo.?
Kizota haijawahi kuwa makao makuu ya CCMAliitwa Kizota akifananishwa na yalipikuwa makai makuu ya ccm oale Kizota jijini Dodoma.
Miaka ile mwenyekiti wa ccm akiwa Nyerere kuna watu wengi nyadhifa zao zilipotea Kizota.
Ilikuwa kama umefanya kosa ukipelekwa Kizota ni ngumu kuchomoka, mfano kama Rais wa pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe alivuliwa nyadhifa zake za Urais wa Zanzibar pale Kizota baada ya kujaribu kuuvunja muungano.
Hata aliyepata kuwa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Horace Kolimba alipoteza nafasi yake hyo pamoja na mauti kumkuta akiwa Kizota Dodoma.
Sasa wakereketwa wa Yanga wakamtunga jina Said Mwamba jinsi alivyoweza kuwadhibiti na kuwatuliza washambuliaji imara akifananishwa na Kizota jinsi CCM ilivyowadhibiti watu wake.
Kataraiya....baba IsayaHivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?