Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

huyo namba 12 noma hadi akaitwa bruce lee!!!
 
- Abdul maneno "KIbavu" yanga
- Hamis Yusufu "waziri wa ulinzi"
- Alfonce Modest "moto pamba pasi"
- waziri Mahadhi bin Jabir "mandieta"
- Mohamed Husein "machinga"
- Abuu Ramadhan "Amokachi" (sijui yuko wapi huyu jamaa, alikua bonge la fowad
 
Halafu sasa ukute Majina hayo watangazaji ni Juma Nkamia na Swedi Mwinyi enzi za RTD. Hawa Jamaa kwa kurusha Moyo si mchezo mpira upo katikati tayari pumzi zinawaishia kwa kutangaza hatari. Na mpira wa Tanzania ni Mtamu kwenye redio. Hawa watangazaji walifanya watu waupende mpira sana. Siku hizi mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…