Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Kumbukumbu za Sunlight cup na baadae kubadilishwa na kuwa Taifa cup...kombe lilichukuliwa na timu za mikoa ya Tanga..Kilimanjaro...na Dar.Moro walichukuwa mara moja.
 
salvtory Edward -doctor,
Edibily Jonas lunyamila-Lunya,
Narid Haroub -Canavaro
Joseph Kaniki-Golota
Henry Joseph-Kuresh
Mrisho Ngasa-uncle
Kelvin yondani- engineer
 
hawa vipi nao hawakuwa na Nick names: Leopold Taso mukebezi, Omari Chuma, Godfrey Nguluko, salim bawazir, Jella Mtagwa, Gibson sembuli, Shaban Baraza, Hussein? Chogo, Willy Mwaijibe, Abdalah Kibadeni, Nkondola, etc
 
Mwinda Ramadhani,
Yanga Fadhili Bwanga, huyu alikuwa na kipaji cha aina yake. bongo ilikuwa na watu wanaujua mpira
 
Kuna midfiel iliwahi kutokea, anaitwa ELISHA JOHN, ohh alikuwa coastal Union baadae akahamia Yanga yeye na Mwihaji ALLY, huyu pia alikuwa beki mzuri saana, kutoka coastal Union
 
Kureshi Ufunguo 'injinia', Jobe Ayoub 'kwasakwasa', Mtwa Kihwelo 'dally kimoko', Jamhuri Kihwelo 'mrema', Mussa Kihwelo 'super', Raphael Paul 'rp', Juma Amir 'pele', Adolf Kondo 'mzungu', Edward Chumila 'edo boy', John Makelele 'zigzag', Iddi Pazi 'father', Selestin Mbunga 'sikinde', Ubwa Makame 'mzungu', Godwin Aswile 'scania', Abdul Ramadhan 'mashine', Abdala Mwinyimkuu 'carlos', Athuman Abdala 'china', James Tungaraza 'bolizozo', Amri Said 'jap stam', Iddi Seleman 'nyigu'. List ni ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…