Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Nani anaikumbuka African Sports iliyopanda ligi kuu na kubeba Ubingwa mwaka 1988?
sio tukuyu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anaikumbuka African Sports iliyopanda ligi kuu na kubeba Ubingwa mwaka 1988?
sio tukuyu???
yaah, alikuwa anapiga sana mawe.
Yusuf Macho ''Fuso''
Kuna siku alipiga penat nikasikia gooo hapana sijui ni nini kimetokea hapa wasikilizaji... ni goli wapenzi wasikilizaji, anachana nyavu pale Hamis Thobias .......Gagarino anachana nyavu!
Omari Mahadhi-bin Jabir- Abdul maneno "KIbavu" yanga
- Hamis Yusufu "waziri wa ulinzi"
- Alfonce Modest "moto pamba pasi"
- waziri Mahadhi bin Jabir "mandieta"
- Mohamed Husein "machinga"
- Abuu Ramadhan "Amokachi" (sijui yuko wapi huyu jamaa, alikua bonge la fowad