Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Mohamed Kajole ´ Machela´
Athman Maulid ´big man´
Athman Juma Chama `Jogoo´
Madaraka Seleman ´Kiminyio´
Malota Soma ´Ball jaggler´
Mohamed Yahya´´ Tostao´

George Magere Masatu......
Hussein Aman Masha.....
Lila Shomari....
Thuweni Ally...

 
DHL-zamoyoni waqt kaenda yanga afrika

Hiyo DHL ilifanya vizuri sana walipocheza na timu nyingine,
lakini walipokutana na Simba ilitema mzigo baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Rashid Abdallah Magongo.
 
we lazima utakuwa 'lishabiki la simba' toa huyo hapo namba 14
 
Raphael John- RP SSC
Nyani ngabu:minziro aliitwa shemeji au majeshi au baba isaya.
kitwana selemani-valment
Anaitwa Fred Felix 'Minziro'. Nina wasi wasi na hili jina la Minziro, huyu jamaa alijiunga na Yanga B wakati wa vita ya Uganda imekolea na kwa kuwa alitokea Bukoba ule Msitu wa Minziro ulitajwatajwa saana wakati ule Wahaya walipokimbilia msituni basi nae akapewa hilo jina. Kama Charles Hillary yupo anaweza kutudadavulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…