born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Hawezi kukuelewadally kimoko
mi aliniachaga hoi alipotangazaga kwamba ye ni bikra....sijui lengo lake lilikuwaga ni nini!!Ila sintah alitesa jamani
Kweli kila zama na kitabu chakee
yap...hiyo line naikumbuka mkuu..daahh ila sinta alikuwa balaa aiseee huwa nazifananisha drama zake na Elizabeth michaelKwenye ngoma inaitwa Taswira yumo Dojo, Domo na Inspecta kuna mstari unasema..
"..namuona Juma Nature ufukweni namuona Sinta,
Namuona P Diddy analilia penzi la Jenifa..."
kick tu ..mijini shule mkuumi aliniachaga hoi alipotangazaga kwamba ye ni bikra....sijui lengo lake lilikuwaga ni nini!!
Sasa mbona Juma nae ni kama keshakufwa tu!Mara nyingi Nilipokuwa napita njia ya Victoria kipindi kile nilikuwa nakumbuka ajli ya Dandu. Halafu watu wakasema Juma alimroga...
......Ili uwastiri washkaji nao wapate kujiuguza....Mbona haujitangazi kua hivi sasa hivi wewe unauzaaa!!
Enzi hizo alikuwa ana-act kama demu wa Richie Richie da ilikuwa noma.Monarisa naye ilikuwa ni habari jamani.
Enzi hizo alikuwa ana-act kama demu wa Richie Richie da ilikuwa noma.
Cha ajabu hazeeki kabisaaaEnzi hizo alikuwa ana-act kama demu wa Richie Richie da ilikuwa noma.
Hili lilikuwa Dis kwa Nature, sema hawa watoto wa mjini walivyo lipindua pindua zaidi ya kifurushi cha vod, Nature alitoka kapa hakujua kama walimaanisha ni yeye. Na jamaa kuohifia povu la Nature ikabidi waiweke vile.Kwenye ngoma inaitwa Taswira yumo Dojo, Domo na Inspecta kuna mstari unasema..
"..namuona Juma Nature ufukweni namuona Sinta,
Namuona P Diddy analilia penzi la Jenifa..."