Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Ng'wizukulu Jilala alifaidi
Mganga wa kienyeji Ngwizukulu Jilala alitumia juju kumpata Norah mtoto mzuri ambaye nyota yake iling'aa sana kwa uzuri wake wakati akiwa anaigiza ITV kupitia Kaole. Alikuwa anawatapeli watu kwa uganga wake ila aliingia cha kike alipohamia Angola baada ya kumuoa Norah, kule aliwatapeli waangola wakaishia kumuua. Norah akarudi kachoka mbaya akaingia kwenye ulevi ambapo kuna kipindi jamaa walimlewesha wakambaka na kumpiga picha nyingi na kuzisambaza mitaani. Nilikutana naye mara ya mwisho Kinondoni kwenye njia ya kwenda Makaburini kulikuwa na baa ilivuma sana kipindi kile inaitwa Soja imechorwa picha ya sanamu ya askari ilikuwa ya mmiliki wa brand ya WAKA WAKA ina picha ya mtu kanjifunika usoni na kiganja ambayo ilikuwa hadi kwenye plate numbers za magari.
 
Alirudi yupo vizuri akaangukia kwa tapeli flani linaitwa zinga la morogoro jamaa alikuwa ana hela kipindi hicho, zilivyoisha aanza kutafuna za nora demu akauza hadi mikufu yake akijua baharia atapiga hela baada ta wote kufilisika ndio akarudi dar kuendeleza ukevi
 
Mganga wa kienyeji Ngwizukulu Jilala alitumia juju kumpata Norah mtoto mzuri ambaye nyota yake iling'aa sana kwa uzuri wake wakati akiwa anaigiza ITV kupitia Kaole. Alikuwa anawatapeli watu kwa uganga wake ila aliingia cha kike alipohamia Angola baada ya kumuoa Norah, kule aliwatapeli waangola wakaishia kumuua. Norah akarudi kachoka mbaya akaingia kwenye ulevi ambapo kuna kipindi jamaa walimlewesha wakambaka na kumpiga picha nyingi na kuzisambaza mitaani. Nilikutana naye mara ya mwisho Kinondoni kwenye njia ya kwenda Makaburini kulikuwa na baa ilivuma sana kipindi kile inaitwa Soja imechorwa picha ya sanamu ya askari ilikuwa ya mmiliki wa brand ya WAKA WAKA ina picha ya mtu kanjifunika usoni na kiganja ambayo ilikuwa hadi kwenye plate numbers za magari.
Basi Norah kapitia mengi sana, ila kwa sasa ni mtu poa sana.
 
Wahenga salaam,

Nakumbuka zama hizo Sinta aliibukia kwenye uigizaji enzi hizo na ray Kigosi , ghafla Shigongo naye akadondoka na magazeti ya udaku, miaka hiyo penzi la P Didy na j lo linatamba USA, mwanadada Sinta ndo ilikuwa habari ya jiji yaani hakuna gazeti lililokua halimtaji na kiki kumbe hazijaanza jana mtoto akadeclare yeye ni bikra kwa kweli niadmit nilikuwa A level huyu chama cha CHAPUTA veterans tuna mengi ya kumshukuru.

View attachment 700357
Katika mpangilio wa kiki binti akaliteka soko kwa kukamata moyo wa huyu bwana (Juma Nature) ambae by then na pini zake kali kama kighetogheto, jinsi kijana e.tc alikuwa gumzo Diamond na Alikiba watasubiri maana alikuwa anawakilisha maisha halisi ya watanzania halisi wa uswahilini na vijijini.

Sasa jamaa anaonekana alizoea wasichana wa kwao Mbagala Kiburugwa na Wazaramo, ghafla akauvagaa mtiti wa watoto wa mjini mapenzi A kuloga A kwa mwana Sinta (J lo wa Bongo) na hili ndo kosa alilolifanya kijana Diamond kwa Wema sepenga. Sasa msichana chati ikapanda wenye mihela yao wakaanza mwaga dau nakumbuka kuna tajiri wa unga alikuwa Iringa mjini ana magari ni mchaga aliwahi mhonga mil 2 ili alale naye usiku mmoja by then ilikuwa inatosha kununua gari, Nature masikini akawa anaambiwa haamini.

Kasheshe mtoto wa Dandu akadondoka na midola kufika Bongo anaambiwa demu mkali na wa kiki ni Jlo(Sinta) akamuomba awe video qeen kwenye wimbo wake wa mpenzi, Nature akamaindi msichana akamtuliza kuwa ni kazi, cha ajabu shoot imeenda hewani msichana bado yuko beach za Mwanza ndo kwa hasira akapiga chini na kutoa nyimbo za ''sitaki demu'' na ''inaniuma sana''.

Mkuu
Wengi hawajuhi mapenzi ya Diamind na wema yanasehemu mbili.
Ya kwanza wema anapesa ananchukua mtoto wa tandake hana kitu ana mlea. Kunbuka wema shuguuli yake ni kudanga. Diamond anakijua hilo abapambana huku anavumilia. Anaanza pata pesa anataka wema atulie aache kudanga. Wema anakubali ila kunguru afugiki. Diamobd anagundua demu ajaacha umLaya anampiga chini baada ya kupata mganda.
 
Uzuri wa Sinta bado upo vile vile,ni mrembo ana miaka mingi lkn hajakubali kuzeeka

yupo ktk tamthilia ya Ndoano azam tv
 
Mkuu
Wengi hawajuhi mapenzi ya Diamind na wema yanasehemu mbili.
Ya kwanza wema anapesa ananchukua mtoto wa tandake hana kitu ana mlea. Kunbuka wema shuguuli yake ni kudanga. Diamond anakijua hilo abapambana huku anavumilia. Anaanza pata pesa anataka wema atulie aache kudanga. Wema anakubali ila kunguru afugiki. Diamobd anagundua demu ajaacha umLaya anampiga chini baada ya kupata mganda.
It makes sense
 
Back
Top Bottom