Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Nature alikuwa muongo muongo sana...hahahahahah kwamba ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda
kwa kucheza dili
na magazeti ili uharibu jina... [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nature alikuwa muongo muongo sana...hahahahahah kwamba ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda
Ray C ndiye msanii aliyetajwa mara nyingi zaidi kwenye nyimbo za bongo flevaENZI HZO MADEMU WALIOKUWA WANATIKISA MJINI
1. Johari
2. Sinta
3. Norah
4. Nancy sumari
5. Ray C (huyu ray c kiukweli watu wamemparamia sana, hapa ndipo naamin papuch haikomoleki, maana mapromota wanamchukua, wanamlipa then wanampa na kishka uchumba, kiuno kinaachiwa.. Enzi hzo yupo na mwisho mwampamba wa BBA)
Enzi hizo tukiwa makinda tunapendaga manyimbo ya amsha amsha ya bongo fleva basi nilikuwa naonaga nyimbo za Dando za kichokochoko tu na nilikuwa nikisikia inapigwa nasepa zangu au nabadili station. Sijawahi kupenda nyimbo zake mpaka kesho. Halafu nilikuwa namuona kama kajamaa fulani hivi kahovyo hovyo na ile kusuka suka yake nywele nilikuwa namuona ka shoga. Si unajua tena utoto wa kumezeshwa kuwa ukiona mwanaume amekaa kaa kifulani hivi basi jua shoga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mi aliniachaga hoi alipotangazaga kwamba ye ni bikra....sijui lengo lake lilikuwaga ni nini!!
Mpaka kupata ajali wakati mumewe tu safari...Nikifikiriiiaa huaga ninalia dem wang amepima amekutwa anangoma"
........Akaja mlevi mmoja akaropoka ......huko nilikotoka noma kwel...sinta na mwenye gar si walinyonyana...ulimi nje nje.....
Inaniuma sana.Cintah alipigwa denda hadi gari likagoma kwenda... hii line ipo kwenye wimbo gani...
Hivi kwasasa nani JLO wa sasa kama ilivyokuwa kwa Cintah
...hili suala ni lako mama usimsingizie Nina endelea kuponda mali...mungu...atakusaidia....kwa kucheza dili na magazeti unaweza kuajili jina....Nature alikuwa muongo muongo sana...
kwa kucheza dili
na magazeti ili uharibu jina... [emoji3][emoji3]
Mmmh jokate katoboa....acha kunifanya nikupe ban!Yaaaan umaarufu wake ulikua unamtosha ata kumilikia jet......kaishia kunjunjwa na vimodo vya bongo vilivyozd kuishusha thamani yake.
Ukusikia ubeauty bila brain ndo ule
Cheki jokate anavyotoboa hvhv
Baki hivyohivyo marehemu alikuwa Bongo Bahati Mbaya toka kitambo kakulia sweden kaja kakuta miziki wenu haueleweki akasaidia kuuweka kwenye map japo kipindi hicho mi ni mdogo mno ila nakumbuka alipata nafasi na kukubaliwa kufanya remix na madilu i think ni msanii wa Congo kama sijakosea pia ndio muhasisi wa tuzo za kili.Kizuri hakidumu mtu kama huyu angekuwepo sidhani kama wasanii wetu wangeendelea kufanywa misukule na kina Ruge.DEAD&GONEEnzi hizo tukiwa makinda tunapendaga manyimbo ya amsha amsha ya bongo fleva basi nilikuwa naonaga nyimbo za Dando za kichokochoko tu na nilikuwa nikisikia inapigwa nasepa zangu au nabadili station. Sijawahi kupenda nyimbo zake mpaka kesho. Halafu nilikuwa namuona kama kajamaa fulani hivi kahovyo hovyo na ile kusuka suka yake nywele nilikuwa namuona ka shoga. Si unajua tena utoto wa kumezeshwa kuwa ukiona mwanaume amekaa kaa kifulani hivi basi jua shoga!
Mapenzi achana nayo kabisaNecha alilia Mb Doggy cha mtoto.
Chai maharage zilikua zishapita eeh [emoji2]Enzi hizo unapanda daladala kutoka Kimara mpaka Posta kwa shilingi mia tu. Na konda akijipindua umkumbushi.
MakumbushoHivi ajalibya mtotonwa dandu ilitokea eneo gani?
Maskini mwisho alipaluliwa kila kitu akabaki na boxer tu hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]ENZI HZO MADEMU WALIOKUWA WANATIKISA MJINI
1. Johari
2. Sinta
3. Norah
4. Nancy sumari
5. Ray C (huyu ray c kiukweli watu wamemparamia sana, hapa ndipo naamin papuch haikomoleki, maana mapromota wanamchukua, wanamlipa then wanampa na kishka uchumba, kiuno kinaachiwa.. Enzi hzo yupo na mwisho mwampamba wa BBA)
Asee, huyu Dada alikuwa mrembo. Time fliesDemu alikuwa Norah bana!!..chaputa moro tulikua vizuri!.
HahahaRichie alikuwa noma alimtongoza monalisa akakataliwa basi akakaa mlangoni usiku kucha ,dah wajinga ilitu touch yaani nusu watu tuandamane ili jamaa likubaliwe