Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

hahahahahah kwamba ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda
Nature alikuwa muongo muongo sana...

kwa kucheza dili
na magazeti ili uharibu jina... [emoji3][emoji3]
 
Ray C ndiye msanii aliyetajwa mara nyingi zaidi kwenye nyimbo za bongo fleva
 

Aliasisi Tunzo za Kili. Kuna nyimbo yake moja na papa wemba nilikuwa naipenda sana while growing up
 
Nikifikiriiiaa huaga ninalia dem wang amepima amekutwa anangoma"

........Akaja mlevi mmoja akaropoka ......huko nilikotoka noma kwel...sinta na mwenye gar si walinyonyana...ulimi nje nje.....
Mpaka kupata ajali wakati mumewe tu safari...
 
Nature alikuwa muongo muongo sana...

kwa kucheza dili
na magazeti ili uharibu jina... [emoji3][emoji3]
...hili suala ni lako mama usimsingizie Nina endelea kuponda mali...mungu...atakusaidia....kwa kucheza dili na magazeti unaweza kuajili jina....
 
Mmemsahau Sandra...pamoja hakuvuma kwa muda Mrefu...ila ngoma ya DuduBaya "
Nakupenda Mpenzi "ilimtoa sana...
 
Yaaaan umaarufu wake ulikua unamtosha ata kumilikia jet......kaishia kunjunjwa na vimodo vya bongo vilivyozd kuishusha thamani yake.

Ukusikia ubeauty bila brain ndo ule

Cheki jokate anavyotoboa hvhv
Mmmh jokate katoboa....acha kunifanya nikupe ban!
 
Ndio huyo ambae nilisikia kwenye wimbo mmoja wa nature akisema kuwa ailipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda?
 
Baki hivyohivyo marehemu alikuwa Bongo Bahati Mbaya toka kitambo kakulia sweden kaja kakuta miziki wenu haueleweki akasaidia kuuweka kwenye map japo kipindi hicho mi ni mdogo mno ila nakumbuka alipata nafasi na kukubaliwa kufanya remix na madilu i think ni msanii wa Congo kama sijakosea pia ndio muhasisi wa tuzo za kili.Kizuri hakidumu mtu kama huyu angekuwepo sidhani kama wasanii wetu wangeendelea kufanywa misukule na kina Ruge.DEAD&GONE
Check kwenye hii link credit https://www.google.com/url?sa=t&sou...BBAB&usg=AOvVaw0wxg1vQnI3Z1NoUKM2zhv2&ampcf=1
Credit > Mshanajr
 
We binadamu gani uchukiwe na kila mtu bwana
Au kwakuwa ni mrembo, mfupi na mzuri sana

Nature bwana..
 
Maskini mwisho alipaluliwa kila kitu akabaki na boxer tu hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…