Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Ng'wizukulu Jilala alifaidi
Mganga wa kienyeji Ngwizukulu Jilala alitumia juju kumpata Norah mtoto mzuri ambaye nyota yake iling'aa sana kwa uzuri wake wakati akiwa anaigiza ITV kupitia Kaole. Alikuwa anawatapeli watu kwa uganga wake ila aliingia cha kike alipohamia Angola baada ya kumuoa Norah, kule aliwatapeli waangola wakaishia kumuua. Norah akarudi kachoka mbaya akaingia kwenye ulevi ambapo kuna kipindi jamaa walimlewesha wakambaka na kumpiga picha nyingi na kuzisambaza mitaani. Nilikutana naye mara ya mwisho Kinondoni kwenye njia ya kwenda Makaburini kulikuwa na baa ilivuma sana kipindi kile inaitwa Soja imechorwa picha ya sanamu ya askari ilikuwa ya mmiliki wa brand ya WAKA WAKA ina picha ya mtu kanjifunika usoni na kiganja ambayo ilikuwa hadi kwenye plate numbers za magari.
 

Alirudi yupo vizuri akaangukia kwa tapeli flani linaitwa zinga la morogoro jamaa alikuwa ana hela kipindi hicho, zilivyoisha aanza kutafuna za nora demu akauza hadi mikufu yake akijua baharia atapiga hela baada ta wote kufilisika ndio akarudi dar kuendeleza ukevi
 
Basi Norah kapitia mengi sana, ila kwa sasa ni mtu poa sana.
 

Mkuu
Wengi hawajuhi mapenzi ya Diamind na wema yanasehemu mbili.
Ya kwanza wema anapesa ananchukua mtoto wa tandake hana kitu ana mlea. Kunbuka wema shuguuli yake ni kudanga. Diamond anakijua hilo abapambana huku anavumilia. Anaanza pata pesa anataka wema atulie aache kudanga. Wema anakubali ila kunguru afugiki. Diamobd anagundua demu ajaacha umLaya anampiga chini baada ya kupata mganda.
 
Uzuri wa Sinta bado upo vile vile,ni mrembo ana miaka mingi lkn hajakubali kuzeeka

yupo ktk tamthilia ya Ndoano azam tv
 
It makes sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…