TUJIKUMBUSHE: Recreativo de Libolo 5-0 Simba S.C l aggregate l

Simba ya Sasa siyo ya 2013 imebadilika sana na ni muhimu mtoa mada ujue hilo kwa hiyo timu ya Simba haitishwi na rekodi za huko nyuma
 
Kuniita punguani wa akili ni kuvunja Sheria za jf na dhabu yake nadhani unaifahamu. Unatakiwa kutoa maoni yako bila kutumia matusi au lugha isiyofaa..
Wapi nimekuingilia kutoa maoni? Nimekuambia wewe umeleta kejeli kwa kisingizio cha kutoa tahadhari, hakuna tahadhari ya namna hiyo duniani.

Kwahivyo hizo kejeli tunazijibu kinamna hivyo yaani, ili siku nyingine ukitoa kejeli zako ujue kuwa kuna ambaye atakujibu kulingana na ulivyotoa.

Narudi tena wewe ni Punguani wa Akili.
 
Onesha iyo kejeli kwenye bandiko. Ukweli Huwa upo straight kuwa tulifungwa na Libolo nje ndani.. hapo kejeli inatoka wapi mkuu?? Imekuuma sana Simba s.c kupakatwa na libolo nje ndani
 
Imekuuma sana we bwege, huna uwezalo zaidi ya matusi na ndio silaha Yako kuu pooza wewe
Huna ishu ushabiki wa mpira umeujulia ukubwani ndiyo maana unatujazia server kwa Utopolo wako hata wana Yanga wenye kujitambua wanaona unaifedhehesha timu yao kwa kuwa na shabiki juha kama wewe.
 
Onesha iyo kejeli kwenye bandiko. Ukweli Huwa upo straight kuwa tulifungwa na Libolo nje ndani.. hapo kejeli inatoka wapi mkuu?? Imekuuma sana Simba s.c kupakatwa na libolo nje ndani
Mkuu, ipi ni ajabu timu kufungwa nje ndani? Mbona ni kama ushamba wa football? Hebu angalia miamba hii iliyopigwa ndani nje. Timu kama inashiriki michuano mikubwa, kushinda na kufungwa ni kawaida, ila kama haishiriki, haiwezi kufungwa na kushinda, maana haipo kabisa. Angalia mifano hii:

1665048991644.png

////////////////////////////////////////////////////////////////////

1665049128563.png
 
Attachments

  • 1665049092617.png
    1665049092617.png
    4.6 KB · Views: 4
Mkuu, ipi ni ajabu timu kufungwa nje ndani? Mbona ni kama ushamba wa football? Hebu angalia miamba hii iliyopigwa ndani nje. Timu kama inashiriki michuano mikubwa, kushinda na kufungwa ni kawaida, ila kama haishiriki, haiwezi kufungwa na kushinda, maana haipo kabisa. Angalia mifano hii:

View attachment 2378690

////////////////////////////////////////////////////////////////////

View attachment 2378702
Kumbe kupigwa mbele na nyuma nyie ni waasisi [emoji23][emoji23] Aloo watu mna siri nzito
 
Nadhani umeangalia vibaya. Sisi ndio tuliipiga nje ndani AS Vita ya akina Mayele, Moloko, Djuma na Bangala. Rudia kuangalia
 
Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa aggregate iyo ya 5-0 na kutolewa kwa aibu kubwa CAFCL hatua ya kwanza.

Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"

Haya, karibu tena nabii unayeamini kuwa matokeo ya mpira yanategemea sana historia za zamani
 
Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa aggregate iyo ya 5-0 na kutolewa kwa aibu kubwa CAFCL hatua ya kwanza.

Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom