Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Mkuu Ab teachers,
Zile fedha za yule Lawyer wa Arusha ni za Uhuru!. Aliamua kuziweka Arusha, ili iwe rahisi ku transfer bulk cash undetected!. Alipanga kuzigawa kama njugu kununulia urais.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
Duh. Very shocking indeed! Wakili anaozea jela kwa pesa za mwanasiasa wa nchi jirani? Sikuwa nafahamu suala hili. Kimsingi, serikali ya Tanzania ilishtuka sana kukuta wakili Mwale wa Arusha ana zaidi ya bilioni mbili katika akaunti yake binafsi ilhali hana biashara za kueleweka mjini, wala hatambuliki kama mlipa kodi mkubwa kutokana na ukwasi huo. Pole yake.