Tujikumbushe ukweli kuhusu Uhuru Kenyatta...

Mkuu Ab teachers,
Zile fedha za yule Lawyer wa Arusha ni za Uhuru!. Aliamua kuziweka Arusha, ili iwe rahisi ku transfer bulk cash undetected!. Alipanga kuzigawa kama njugu kununulia urais.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco

Duh. Very shocking indeed! Wakili anaozea jela kwa pesa za mwanasiasa wa nchi jirani? Sikuwa nafahamu suala hili. Kimsingi, serikali ya Tanzania ilishtuka sana kukuta wakili Mwale wa Arusha ana zaidi ya bilioni mbili katika akaunti yake binafsi ilhali hana biashara za kueleweka mjini, wala hatambuliki kama mlipa kodi mkubwa kutokana na ukwasi huo. Pole yake.
 
It is true central province has benefitted over the years from its close proximity to the economic centre and capital nairobi. however this will ultimately change as economic devolution comes into practice. But we have people who said raila is the man who brought devolution. Correction raila was drumming the wasteful umajimbo government/federal governments
 

Nd'o hali halisi ya hawa mabwana....use people and dump them with reckless abandon.

..wakili Mwale anajijutia kwa nini alikubali hela ya huyu mhuni ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya
jinai nchini mwake.
 

Can you please make a point without having to rope the Prime Minister into your warped arguments mazee?

One fallacy you are trying to spin up there is that central province has benefitted over the years from its
close proximity to the economic centre and capital Nairobi. NOT TRUE!!!!!

...Central Province has benefiited because of the triblistic/Nepotistic tendencies of 2 of the 3 presidents
that Kenya has had since independence!
 
The fact that the writer of the article cannot even tell who has funded the Thika superhighway is really telling. There will be articles demonising uhuru and odinga and they will come with all manner of spin stories but those without peanut brains will know to read between the lines.
 
IMO writers that are myopic and endemicaly narssistic are normally guided by ignorance.

The new constitution as important as it is to the future wellbeing has become a chicken and egg situation. Stakeholders I need to gauge the Kenyans here. PS answer the question below. right Answer will be given on friday.

Q1. Who brought in the new constitution?

A. Raila
B. Kibaki
C. Registered voters
D. All of the above
 

None of the above..... KENYANS did!...Members don't have to wait for Friday for the obvious.
 
Nd'o hali halisi ya hawa mabwana....use people and dump them with reckless abandon.

..wakili Mwale anajijutia kwa nini alikubali hela ya huyu mhuni ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya
jinai nchini mwake.

...na ilikuwa ni pesa ndefu kwelikweli. Have a look at this.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…