Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.

Naanza na Sabuni ya Mbuni…
1. Mafuta ya kupikia ya cow boy na tanbond.
2. Mafuta ya kujipaka ya Suzane po Made, Bint Sudan, Yolanda na rays.
 
Ilinipa dem form one 2006,
download.jpeg
 
Ilikuwa ukipiga kijiko kimoja cha antepar jioni,, asubuhi unajisaidia lundo la minyoo kama tambi.
🤣 🤣 🤣 Kweli kabisa. Watoto wa siku hizi hawajui hayo. Kulikuwa na nyingin tena inaitwa Castor oil. Ile sikumbuki vizuri ilikuwa ya minyoo ya kawaida au minyoo tegu. Ilikuwa unapewa dawa fulani (ambayo sikuijua) kwanza, halafu unapewa castor oil ili inkufanye uharishe utoe minyoo.
 
Betri😛arker Power

Mchele:VIP

Biscuit. Maria

Dawa ya kifua:Cofta

Dawa ya kidonda:Mchuzi wa Jogoo

Sindano zinachemshwa moja mnachoma hata watu kumi .. hosp yoyote chumba cha sindano kuna jiko la stove

Raba :lakuchumpa

Marafuku mtoto kuwa na nywele ndefu maana akioga atamaliza sabuni

Dawa ya kuchua:Salimia
 
Back
Top Bottom