Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

KUNA kipindi nilikuwa najaribu kuingia kwenye mtandao angalau nitafute picha ya gazeti la Dar leo na alasiri lakini sikufanikiwa, Embu Nipatie ukipata

Hahahahaaa Magazeti ya long sana ,ila watu wapo vizuri lazima wana archives ya hayo mazagazaga ,kama watu wana stocks hadi za 1890 sasa hizi za juzi late 90s and early 00s zitakuwepo tu.
 
images (7).jpeg
01. Nje kidogo ya mada: Zilikwepo Wema vs kanumba, game first quality kina pasta Miamba na kina mzee Magari
images (6).jpeg
02. chaser balloon enzi hizo ndo hot in town
images (5).jpeg
03. Wazee wa N series je ipi ilikua your best n series version? symbian os, wazee wa whats your BBN pin tumewaacha.
images (8).jpeg

images (4).jpeg

04. sony Ericson nae tumeamuacha?! wazee wa motorola rarzr?

images (9).jpeg

images (3).jpeg
05. sony cd player hapa ukiwa unacheza basket ball af unaenda zako tizi jioni na walkman yako umeburn cd yako magoma ya make it rain, young jeezy, enzi hizo migos hawapo.
images (2).jpeg
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    29.2 KB · Views: 6
Dah una kumbukumbu mujarabu. Hiyo #12 MB siyo aina ya panadol, ilikuwa ni antbiotic ni kama Septrine za leo.
Asante sana kwa kunirekebisha kwa hilo. Nakumbuka tulikuwa tunaisaga na kuweka kwenye vidonda. Lakini sikuwahi kujua ni antibiotic
 
PATASI, hii ilikuwa ni bandeji nzito inayovutika iliyovaliwa mguuni badala ya kiatu, watumiaji walikuwa askari na wacheza mpira(enzi hizo hakukua na viatu vya kuchezea mpira).
Shukrani mkuu

Ila kuna kifaa flan cha ujenzi kilikua kina kichwa na kamba ndefu hivi, kile sijui kilikua kinaitwaje_
 
Ilikuwepo dawa ya kidonda inaitwa JV ya blue/purple ukipuliziwa kwenye kidonda utaikubali tu ilivyokuwa ikipenya
 
Nyembo Juma Nyembo, Kuwayawaya S. Kuwayawaya, Fadha Nagumo Fanani Komoro, Bokoman Mwana Mkongoman, Kunguru Mwoga, Tewa S. Tewa. Moja kati ya majina hayo alikuwa ni mimi.

Haya yalikuwa majina maarufu miaka ya 90 katika Radio vipindi vya salamu. Baadaye wakaja akina Chesco Matunda.

Tumetoka mbali sana. Imagine miaka hiyo unayasikia majina haya ila humfahamu mwenye jina lakini unafurahi jinsi anavyotuma salamu kwa mwenzie ambaye naye hawafahamiani zaidi ya kusikiana kwenye Radio.
 
Back
Top Bottom