Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

FB_IMG_1692673186548.jpg
 
Bastola ya Baruti na Bastola ya Vitunda..
Kama wewe hujachezea hizi basi we sio mjanja..

Binafsi nilikua napenda ile ya vitunda ambayo ina uhalisia yani unatoa magazine na kuijaza vitunda halafu una cock.. Mzuka wake ni nouma
View attachment 2724714

View attachment 2724715
.... wewe ulikuwa mtoto mambo safi familia bora mboga 7 kunisevia, sisi baruti zetu tulikuwa tunatumia spoke za baiskeli na unga wa njiti za kiberiti.
 
Hapana sio kwamba mambo safi ila kwa sisi tulisoma shule za mjini tumepata hii experience. Nikirudi kitaani pia nakutana na experience nyingine. Yani baruti za spoke pia nimezipiga sana

ahaahah.. mkuu usitorokeee. kubali tuu hizo watoto wa kishua mlikuwa mnatutishia tunakimbia kama nini.
 
Luxury buses dar to dodoma. Siri yako, the big mayai, good times and royal luxury coach.
 
Back
Top Bottom