1. Mafuta ya kupikia ya cow boy na tanbond.Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.
Naanza na Sabuni ya Mbuni…
Kimbo bado ipo mkuu. Iliyoondoka sokoni ni COW BOY.Kimbo
Topaz
Sunvita
Komesha
Wewe ni mimi mkuuSimu yangu ya kwanza kuimiliki, PHILIPS. Niliinunua mpyaa, nafikiri kwa sh 20,000/= mwaka 2006.
Ni WALKMANKumbe hivo vi radio viliitwa workman
Sisi tulikua tukiviita okomani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetisha sana mwamba
Ilikuwa ukipiga kijiko kimoja cha antepar jioni,, asubuhi unajisaidia lundo la minyoo kama tambi.Hizi mbona bado zipo?
Hivi Aspro,Cofta, Andrews, Eno, Antepar (dawa) bado zipo?
We ulie mbele unawazidi niniMwaka jana nilienda geita nikakuta bado wanatumia wembe wa topaz. Wasukuma wapo nyuma sana...
Mshindi sabuni yenye usongo na uchafu. Ilikua na kawimbo kazuri sana.
Vimto ipoKinywaji cha Vinto.
Gazeti la Alasiri.
Sabuni ya Codray.
Chupi za VIP.(Taiwani)
Sabuni za AYU.
🤣 🤣 🤣 Kweli kabisa. Watoto wa siku hizi hawajui hayo. Kulikuwa na nyingin tena inaitwa Castor oil. Ile sikumbuki vizuri ilikuwa ya minyoo ya kawaida au minyoo tegu. Ilikuwa unapewa dawa fulani (ambayo sikuijua) kwanza, halafu unapewa castor oil ili inkufanye uharishe utoe minyoo.Ilikuwa ukipiga kijiko kimoja cha antepar jioni,, asubuhi unajisaidia lundo la minyoo kama tambi.
Vimto ipo
Ayu zipo tena 600 tu
Bukta brand ya nguo/VIFAA za/vya michezoTuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.
Naanza na Sabuni ya Mbuni…