Art
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 611
- 88
Vya enzi vizuri wakuu...siku hizoo zilizopita michezo ya watoto ilikuwa ikiwavuta na kuwaweka watoto pamoja sana na ilidumisha umoja na mshikamano hata kwa wazazi.
Cha kushangaza watoto wale wa enzi hizo pamoja na michezo yao ya mchana na usiku bado walikuwa na ADABU,HESHIMA na UTII na zaidi wengi walifanya vizuri madarasani.
Hata hivyo nimekumbuka vifuatavyo:-
*Bites
-Kashata
-Ngubiti
-lawalawa
-ubuyu wa unga
-Mabumunda
*Mavazi
-Mwisho saa sita (viatu)
-Pima juu...chini mwaga (suruali)
-Pensi nyanya.
-Saspenda
-Shumizi (Nliskia mabinti wakiita)
*Syle ya kunyoa
-Panki
-Fidodido
-Kiparangoto
-kukata way
*Michezo
-Gololi (Mpusa)
-Manati (kuwinda Vitorondoo)
-Kombolela
-Tiari bado.
-Esta esta (mabinti)
-Rede (Mabinti)
-One touch (Boys)
Ilikuwa zaidi kwa watoto wabishi na si kwa watoto wa kotaz na magetini.