Kibaba baba na kimama mama ndo nilikua napenda na nijlikuwa nafanya kweli ila kila nikifika home bi mkubwa anashtuka nachezea kichapo balaa
Watakaoanza kufungwa ni sharti wavue mashati wabaki kifua wazi.
mkuu kina bishanga na rich rich ni wajuzi tu hawa,na kina wema wa enzi izo walikuwa kina waridi na aisha(black flani ivi amazing)mimi nakumbuka enzi za maigizo ya ITV kitambo icho tulianza na kina BOCHA na SUMBI hawa jamaa cjui ata wapogo wapi aisee!thn wakaja kina mzee jongo,halafu DTV walikuwa wanaigizo moja ivi la ZIMWI dah kitambo saaaana.
Aisee niliwakaza mademu wengi sana kinguo nguo enzi izo,nilio wafanya kweli ni wachache sana kuliko wa kinguo nguo
Dah nakmbk mnaanza gemu saa mbili asubuhi mnatoks saa saba kwa ajili ya msosi then mnalianzisha mpaka kumi na mbili.....mtu unatoka umechoka chepechepe afu ukilala usiku ukiamka asubuhi kitanda kama bwawa vile....
Mkuu pale palee karibu na mafiga ps. Around 2002 hivi