Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

Kibaba baba na kimama mama ndo nilikua napenda na nijlikuwa nafanya kweli ila kila nikifika home bi mkubwa anashtuka nachezea kichapo balaa

Aisee niliwakaza mademu wengi sana kinguo nguo enzi izo,nilio wafanya kweli ni wachache sana kuliko wa kinguo nguo
 
mkuu kina bishanga na rich rich ni wajuzi tu hawa,na kina wema wa enzi izo walikuwa kina waridi na aisha(black flani ivi amazing)mimi nakumbuka enzi za maigizo ya ITV kitambo icho tulianza na kina BOCHA na SUMBI hawa jamaa cjui ata wapogo wapi aisee!thn wakaja kina mzee jongo,halafu DTV walikuwa wanaigizo moja ivi la ZIMWI dah kitambo saaaana.

Wote hao kitambo ht bishanga rich rich nao kitambo sana mku co wa juzi pia kuna michezo ile ya radio RTD mkuu enzi hzo kila j mosi jioni
 
Mi sana sana namiss kucheza na kuwapanda dinosaurs kule kwetu Jurassic Park, baada ya kuja Afrika nilipenda sana kutovaa nguo za madukani bali nyasi na magamba ya mgomba pamoja na kula panzi (senene), wadudu (kumbikumbi), paka, mbwa, na samaki wa mashimoni (panya).
 
Dah nakmbk mnaanza gemu saa mbili asubuhi mnatoks saa saba kwa ajili ya msosi then mnalianzisha mpaka kumi na mbili.....mtu unatoka umechoka chepechepe afu ukilala usiku ukiamka asubuhi kitanda kama bwawa vile....

Time ya msosi anaitwa mmoja mmoja kwenda kwao kula uku wengine wakiliendeleza
 
Back
Top Bottom