Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Frank na Ronald de Boer wadachi hawaSoka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.
Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
Salum na swedi sijui waliishia wap carrier ya bongo shida sana sijui wanakwama wap vijana wetuSoka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.
Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
Mufti hapo kwenye familia ya Zidane na Kluvert ni mapema sana,kwan hao watoto bado hawajaanza kuonesha ufundi kama wa baba zaoWengi mnooo mkuu, sijui huyu rui costa na victor costa nyumba nao ni ndugu!!!
Diego milito, gabriel milito
Kolo toure, yaya toure
Kasper, peter schemeichel
Brian na michael laudrup
Jordi na johan Cruyff
Kina pogba
Justin na patrick kluivert
Simeone na paul inzaghi
Adur na edu gudjohsen
Frankie na ronald de boer
Zidane na enzo zidane
Paul na cesare maldini
Etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Abuu Juma, Pamba FC, Makumbi Juma Bongabonga/ Hoja ya Jiji, Yanga. Aloo Mwitu, Isihaka Mwitu, Simba. Joram Mwakatika, Pamba FC, Isaac Mwakatika, Pilsner. Hussein Ngulungu, Tumbaku FC/ Taifa Stars na Idrissa Ngulungu, Coastal Union. Musa Kihwelo, Jamhuri Kihwelo, Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo (hii ndio familia ya soka Tanzania).
Sent using Jamii Forums mobile app
Salum alicheza kwa mafanikio sana kwenye timu ya mtibwa na national teamSalum na swedi sijui waliishia wap carrier ya bongo shida sana sijui wanakwama wap vijana wetu