Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.

Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
 
Frank na Ronald de Boer wadachi hawa
Binafsi nilimpenda zaid frank alikuwa mkoba
wa ukweli sana waliipeleka Holland nusu fainali kombe la dunia 1998
 
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.

Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
Salum na swedi sijui waliishia wap carrier ya bongo shida sana sijui wanakwama wap vijana wetu
 
Wengi mnooo mkuu, sijui huyu rui costa na victor costa nyumba nao ni ndugu!!!

Diego milito, gabriel milito
Kolo toure, yaya toure
Kasper, peter schemeichel
Brian na michael laudrup
Jordi na johan Cruyff
Kina pogba
Justin na patrick kluivert
Simeone na paul inzaghi
Adur na edu gudjohsen
Frankie na ronald de boer
Zidane na enzo zidane
Paul na cesare maldini
Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mufti hapo kwenye familia ya Zidane na Kluvert ni mapema sana,kwan hao watoto bado hawajaanza kuonesha ufundi kama wa baba zao

Atleast yule mtoto wa Diego Simon,alikuwa ligi ya Italia jina la timu silikumbuki vyema
 
Abuu Juma, Pamba FC, Makumbi Juma Bongabonga/ Hoja ya Jiji, Yanga. Aloo Mwitu, Isihaka Mwitu, Simba. Joram Mwakatika, Pamba FC, Isaac Mwakatika, Pilsner. Hussein Ngulungu, Tumbaku FC/ Taifa Stars na Idrissa Ngulungu, Coastal Union. Musa Kihwelo, Jamhuri Kihwelo, Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo (hii ndio familia ya soka Tanzania).

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhehe ndio MWANAMTWA KIHWELU? Namkumbuka mkali huyu!

kwenye familia ya soka Ongeza na NJOHOLEs! Rennatus! Deo! Boniface!
Abuu Juma, Pamba FC, Makumbi Juma Bongabonga/ Hoja ya Jiji, Yanga. Aloo Mwitu, Isihaka Mwitu, Simba. Joram Mwakatika, Pamba FC, Isaac Mwakatika, Pilsner. Hussein Ngulungu, Tumbaku FC/ Taifa Stars na Idrissa Ngulungu, Coastal Union. Musa Kihwelo, Jamhuri Kihwelo, Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo (hii ndio familia ya soka Tanzania).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morogoro kulikuwa na koo maarufu kama MSOMALI (iliyotoa Msomali kocha aliewatoa akina Zamoyoni, Malota, Adam Sabu, Juma Shabaan n.k, Msomali Golikipa na sasa kuna Msomali kocha wa MORO KIDS)

Pia kulikuwa na ukoo wa MASENGA! Uliwatoa HAMAD MASENGA (Reli Morogoro) na MBARAKA MASENGA (Moro United na POLISI Morogoro)
 
Back
Top Bottom