Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Issa athuman na kasongo athuman
 
Mhehe ndio MWANAMTWA KIHWELU? Namkumbuka mkali huyu!

kwenye familia ya soka Ongeza na NJOHOLEs! Rennatus! Deo! Boniface!
Amachanganya, ni Mhesa Kihwelu, na kuna Sehemu amemwelezea Makumbi Juma, AKA yake akaitaja "Hoja ya Jiji" amekosea ni Homa Ya Jiji. Mtangazaji Ahemed Jongo, alilitamka sana jina hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sunday manara ' computer', kassim manara na Yule mwingine jina limenitoka
Iddi moshi, mrisho Moshi na haruna moshi
Mohammed abubakar 'phantom' na idd abubakar
Kitwana Manara (Popat), huyu ndio kaka yao, alikuwa mshambuliaji na golikipa pia, hajatokea mchezaji wa aina hii Tanzania. Sunday Manara Computer na Kassim ni wadogo, Kassim Manara mzee wa bicycle kick ni mdogo wao, alichezea Pan Africa baadae akaenda kucheza soka la kulipwa Austria.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…