The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Issa athuman na kasongo athumanSoka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.
Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!