Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Ni tofauti, Mhehe ni mdogo kabisa. Mwanamtwa ndiye Mtwa Kihwelo.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
thanks. Mwanamtwa alianzia Tabora... Akawika Reli Morogoro kisha akaingia SIMBA!

huyu baadae akaenda Ng'ambo kucheza soka la kulipwa! Huko mipango ikafeli na Siku anarudi Tanzania.... Ndani ya Ndege akakutana na Msoga - Shabiki wa JANGWANI.. Akamalizana nae ili achezee WANANCHI FC
 
Hawa watoto mnawaweka kwa sababu ya ubini au nasaba yao lakini hawajafanya hata robo ya wazazi wao hao kina justine Kluivert kina Enzo na yule mtoto wa paul Ince hawana kubwa walifanya mpaka leo labda yule blind waweza sema alijitahidi kujijenga na amekuwa lkatika kiwango kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…