Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Gift kampamba na chintu kampamba
Rashid maadh habib maadh na waziri maadh
Granit xhaka na taulant xhaka
Hakan yakin na murat yakin
Christopher katongo na felix katongo
Niko kovac na robert kovac
Paul ince na thomas ince
Monja liseki na castor liseki
Murat yakin na hakan yakin
Mustapha hadji na yusuph hadji
Asamoah gyan na bafoe gyan
Andre ayew rahim ayew na jordan ayew
Abed ayew na kwame ayew
Kalu uche na ikechukwu uche
Samuel osei kufdour na emanuel osei kuffour
 
Abuu Juma, Pamba FC, Makumbi Juma Bongabonga/ Hoja ya Jiji, Yanga. Aloo Mwitu, Isihaka Mwitu, Simba. Joram Mwakatika, Pamba FC, Isaac Mwakatika, Pilsner. Hussein Ngulungu, Tumbaku FC/ Taifa Stars na Idrissa Ngulungu, Coastal Union. Musa Kihwelo, Jamhuri Kihwelo, Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo (hii ndio familia ya soka Tanzania).

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Nicodemus Njohole na wadogo zake.
 
Wengi mnooo mkuu, sijui huyu rui costa na victor costa nyumba nao ni ndugu!!!

Diego milito, gabriel milito
Kolo toure, yaya toure
Kasper, peter schemeichel
Brian na michael laudrup
Jordi na johan Cruyff
Kina pogba
Justin na patrick kluivert
Simeone na paul inzaghi
Adur na edu gudjohsen
Frankie na ronald de boer
Zidane na enzo zidane
Paul na cesare maldini
Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu.
Ungeweza kutenga wale ambao ni brothers Kama akina Toure na wale ambao ni baba na mtoto wake Kama, Kasper (mtoto) na Peter (baba)
 
Morogoro kulikuwa na koo maarufu kama MSOMALI (iliyotoa Msomali kocha aliewatoa akina Zamoyoni, Malota, Adam Sabu, Juma Shabaan n.k, Msomali Golikipa na sasa kuna Msomali kocha wa MORO KIDS)

Pia kulikuwa na uoo wa MASENGA! Uliwatoa HAMAD MASENGA (Reli Morogoro) na MBARAKA MASENGA (Moro United na POLISI Morogoro)
Umenikumbusha mtu huyu hamad said masenga waqt huo reli kweli ilikuwa kiboko ya vigogo bila kumsahau Ali malilo loketo au kidudumtu.
 
Musa Kihwelo, Jamhuri Kihwelo, Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo (hii ndio familia ya soka Tanzania).

Umemsahau marehemu Shaku Kihwelo alichezea Malindi...(huyu alifarikia Afrika Kusini)

Pia Mwanamtwa Kihwelo "Dally Kimoko" kwa sasa huyu mtu unaweza mfananisha na Erasto Nyoni kwa ukiraka wake...
 
Back
Top Bottom