Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
DuhKubwa kuliko ni hii ya msimu uliopita ya Romelu Lukaku kwenda Chelsea. £100 milioni imeteketea bila kutarajia
ana gundu yule jamaa. Hata moyes alipomchukua kutoka everton kwenda man u alifeli.Kubwa kuliko ni hii ya msimu uliopita ya Romelu Lukaku kwenda Chelsea. £100 milioni imeteketea bila kutarajia
Si Maria haku fail Man Utd wanakuaga na wengeAngel Di Maria kutoka Madrid to Man Utd na vibaka wakavamia mpaka nyumbani kwake hakutaka tena kuishi jijini Manchester
Bora sisi Yanga tunangoja wasiwe na mikataba ndio tunawasajili. Hata wakiwa flop haituumi sanaMimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Prince DubeMimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?