Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Huu uzi ni mzuri sana, umenipatia wasaa wa kukumbuka mashujaa waliosahaulika katika soka.

Kuna fundi mwingine wa kuitwa Mohamed Barakat, jamani acheni nyie jamaa alikuwa anasakata kabumbu la uhakika sana.

Pia kuna akina, Finidi George, Mutiu Adepoju, Sunday Oliseh, Rashid Yekini, Raymond Kalla, Salif Diao, Fadiga, Papa Bouba Diop nk
 
Haswaaa. Ila mwenyewe akazingua. Refa ikawa kazi nyepesi kwake.

Toka kile kizazi Africa hatujawahi kuwa na kikosi kizuri cha soka kama kile kwa mtazamo wangu, Senegal 2002 world cup waliniboa utozi mwingi badala ya kazi, Cameroon walikuwa ni full maguvu badala ya burudani.
 
Nwanko KANU
Taribo west
Daniel amokachi
Uche ikwechuku
Celestine babayaro
Tijan babangida
Mustafa el haj
Patrick mbona
Henry camara
El haj diouf
Papaa bouba diop
Hao watatu wa mwisho mkuu ni msimu mmoja tu ndio waliwika tena ni wajuzi tu ijapokuwa mm mwenyewe nimezaliwa 90'
 
riyadh bhouzoz wa tunisia,mustafa hadji,yousef hadji,lucas radebe,mark fish,philiph masinga
Yousef hadji mtoe mkuu ,mbajishe kaka mkubwa Mustafa haji mtu wa kazi ,
Eti leo mbadala wao ni akina marouane chamakh,daah kweli dunia imeishiwa.
 
mustafa haji mirocco
victor ikpeba nigeria
saydou keita mali
lucas ladebe sa
patrick sufo cameroon
rashid yekin nigeria
lauren etema maya cameroon
didier drogba ivory coast
nk
 
Yaah ulikuwa mkoba wa deportive la coruna alikuwa yupo vizuri
Baadae alienda kumalizia mpira wake Bolton ambapo pale alikuwepo na akina Kevin Davies, Kelvin Nolan, Ivan Campo, Youri Djokaeff, Jay Jay Okocha, Juusi Jaasklainen, Nicholas Anelka na wengineo chini ya jemedari Sam Allardayce " Big Sam "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…