Tujikumbushe Wachezaji wanaotoka mkoa wa Kigoma

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......
 
Ally Katolila
 
KITWANA MANARA
SUNDAY MANARA
KASSIM MANARA

Na Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni


Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k

Hawa Jamaa Mkoloni angewapiga Shule Kama alivyofanya Kwa Wachagga Na Wahaya Pengine ingekuwa ishakitenga Kama Eritrea kutoka Ethiopia
 
Na Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni


Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k
Kwenye siasa...
 
Kwenye siasa...

Pia hawajambo, ndio Watanzania wa kwanza kuchagua Mpinzani kwenda Bungeni 1994 Kwa kumchagua Hayati Dkt Kabourow
Pia ndio Mkoa ambao tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze haujawahi kukosa Mbunge wa Upinzani ndani ya Mkoa huo
Kwenye Uchaguzi wa 2010 ndio Mkoa uliompa Mpinzani Asilimia nyingi ya kura , Dlt Slaa alipata 48% ya kura za Mkoa wa Kigoma
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
 
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
Duh... kwahiyo hapa pana funzo kubwa sana toka kwa hawa watu... Huyu Zitto huyu kumbe anaweza kufuata nyayo za wenzake waliomtangulia...Maana nao pia walikuwa machachari kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…