Tujikumbushe Wachezaji wanaotoka mkoa wa Kigoma

Tujikumbushe Wachezaji wanaotoka mkoa wa Kigoma

Makumbi Juma, Abdalla Burhan, Ali Katolila, Abeid Mziba, Aloo Mwitu, Isihaka Mwitu, Abuu Juma, Khalid Bitebo, Mavumbi Omari (Sendemaa), Kichochi Lemba, Wastara Baribari, Yusuf Abeid.

Vv
 
Pia hawajambo, ndio Watanzania wa kwanza kuchagua Mpinzani kwenda Bungeni 1994 Kwa kumchagua Hayati Dkt Kabourow
Pia ndio Mkoa ambao tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze haujawahi kukosa Mbunge wa Upinzani ndani ya Mkoa huo
Kwenye Uchaguzi wa 2010 ndio Mkoa uliompa Mpinzani Asilimia nyingi ya kura , Dlt Slaa alipata 48% ya kura za Mkoa wa Kigoma
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
Kinachowaponza wanasiasa wetu ni njaa, iwe Kigoma au Mwanza au Kagera. Hizi nchi zetu siasa ni ajira, sio utumishi.

Vv
 
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......
ally kiba
 
  • Kigoma all stars Chini ya Captain Diamond Platinum
 
Na Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni

Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k

Hawa Jamaa Mkoloni angewapiga Shule Kama alivyofanya Kwa Wachagga Na Wahaya Pengine ingekuwa ishakitenga Kama Eritrea kutoka Ethiopia
Hawa jamaa wa Kigoma wako vizuri sana at least kwny kila kitu lkn cha ajabu Kigoma ni kama mkoa wa mwisho kwa kila kitu,kuna machalii kibao wanafanya biashara vizuri sana lkn cha ajabu hawajengi kwao,in short makabila ya Kigoma naweza sema wamebarikiwa lkn pia wana matatizo makubwa sana
 
Pia hawajambo, ndio Watanzania wa kwanza kuchagua Mpinzani kwenda Bungeni 1994 Kwa kumchagua Hayati Dkt Kabourow
Pia ndio Mkoa ambao tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze haujawahi kukosa Mbunge wa Upinzani ndani ya Mkoa huo
Kwenye Uchaguzi wa 2010 ndio Mkoa uliompa Mpinzani Asilimia nyingi ya kura , Dlt Slaa alipata 48% ya kura za Mkoa wa Kigoma
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
Hapo kwa kumchagua mpinzani wa kwanza kwenda bungeni waliziduwa na wazee wa manyara waliomchagua Sarawat kama mbuge huru aliyeingia bungeni kama mbuge huru asiye na chama. Nafikiri ulikuwa uchaguzi wa 1975/kama sikosei
 
Aliitwa Computer wakati huo hatujui hata Computer no kitu gani?
Ahhha haah basi ilikuwa noma lkn too bad tuliofuatilia mpira baadae hatukuwahi kupata hata footage zake kuona uwezo wa jamaa kama tunavyomuona maradona leo au Pere
 
Na Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni

Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k

Hawa Jamaa Mkoloni angewapiga Shule Kama alivyofanya Kwa Wachagga Na Wahaya Pengine ingekuwa ishakitenga Kama Eritrea kutoka Ethiopia
Heshima kwako Mkuu,

Naunga mkono maelezo yako kwa asilimia nyingi sana,

Kwa kweli Kigoma vipaji vipo vingi sana japo hupotea kutokana na baadhi ya changamoto kama mazingira yasiyo rafiki kuviendeleza vipaji na hali tete katika masuala ya uchumi katika mkoa wa kigoma,mzunguko wa pesa ni mdogo sana lakini Chakula na ardhi ipo ya kutosha na inahimili mazao mengi,

Katika soka watu walio wengi wanaweza kucheza mpira vizuri sana,
Mimi nimepata kusoma Shule ya msingi kigoma, Mama yangu Muha na Baba yangu mnyamwezi hivyo waweza kuniita Muha/mnyamwezi pia nimeweza kushiriki moja ya copacocala kuwakilisha Kigoma...

Kunajamaa yangu mmoja nilikuwa namtania kipindi cha nyuma kwamba Kigoma ikipata viwanja bora na vifaa bora vyamazoezi vijana wakijifua vilivyo Taifa star's hawawezi nusu atapua watachalazwa vibaya mno nanilimwambia hivyo kwa kuwa nilipata kutembelea mikoa mingi,arusha,tanga,kagera,dodoma,singida,Moro,Shinyanga,iringa n.k na nikawa najitahidi kwenda kutazama mazoezi ya mpira jioni.

Sasa tuwatazama watu wakigoma kwa uchache kidogo.Watu wa kigoma Ubinafsi (umimi) wengi huwa hawashikani mikono kuinuana ili wakwende pamoja kama baadhi ya watu wa mikoa mingine wafanyavyo,Ubahili,Ubishi,kuendekeza imani za kishirikina lakini jambo zuri huwa ni wachapakazi sana,hawakati tamaa,hawachagui kazi,hawapendi kumbuluzwa.

Kigoma vipaji vipo vingi,Tanzania ikiweka mfumo mzuri wa soka mawakala wa soka muitembelee kigoma mkaone maajabu ya soka.

Naamini pia kigoma siku miundombinu ikiwa ya uhakika na bora na Umeme wa uhakika bila kusahau kujengwa kwa vyuo na shule nyingi kigoma itashangaza wengi katika nyanja nyingi.
 
Sisi Wa Rukwa Tunahitaji mje na uzi wetu maalumu kuhusu wachezaji wetu tujaze pAge mpaka zifike 199
 
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......

Huyo # 3 ameshamalizana na Mama Kamishina Makakala wa UHAMIAJI?
 
Back
Top Bottom