Amezaliwa Bujumbura Burundi amekulia huko na amekuja Tanzania kwa ajili ya kucheza mpira, ingawa ndugu zake wengi wapo Tanzania.fafanua kidogo, ni mzaliwa wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amezaliwa Bujumbura Burundi amekulia huko na amekuja Tanzania kwa ajili ya kucheza mpira, ingawa ndugu zake wengi wapo Tanzania.fafanua kidogo, ni mzaliwa wa wapi?
Kinachowaponza wanasiasa wetu ni njaa, iwe Kigoma au Mwanza au Kagera. Hizi nchi zetu siasa ni ajira, sio utumishi.Pia hawajambo, ndio Watanzania wa kwanza kuchagua Mpinzani kwenda Bungeni 1994 Kwa kumchagua Hayati Dkt Kabourow
Pia ndio Mkoa ambao tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze haujawahi kukosa Mbunge wa Upinzani ndani ya Mkoa huo
Kwenye Uchaguzi wa 2010 ndio Mkoa uliompa Mpinzani Asilimia nyingi ya kura , Dlt Slaa alipata 48% ya kura za Mkoa wa Kigoma
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
ally kibaBaada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......
Ni mfupi kama watu wa Kigoma lkn huyo chalii ni mchagga,mtu wa K/njaroJoti wa wap iv?
Hawa jamaa wa Kigoma wako vizuri sana at least kwny kila kitu lkn cha ajabu Kigoma ni kama mkoa wa mwisho kwa kila kitu,kuna machalii kibao wanafanya biashara vizuri sana lkn cha ajabu hawajengi kwao,in short makabila ya Kigoma naweza sema wamebarikiwa lkn pia wana matatizo makubwa sanaNa Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni
Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k
Hawa Jamaa Mkoloni angewapiga Shule Kama alivyofanya Kwa Wachagga Na Wahaya Pengine ingekuwa ishakitenga Kama Eritrea kutoka Ethiopia
Nasikia Sunday Manara alikuwa balaa sana enzi zake,KITWANA MANARA
SUNDAY MANARA
KASSIM MANARA
Aliitwa Computer wakati huo hatujui hata Computer no kitu gani?Nasikia Sunday Manara alikuwa balaa sana enzi zake,
Hapo kwa kumchagua mpinzani wa kwanza kwenda bungeni waliziduwa na wazee wa manyara waliomchagua Sarawat kama mbuge huru aliyeingia bungeni kama mbuge huru asiye na chama. Nafikiri ulikuwa uchaguzi wa 1975/kama sikoseiPia hawajambo, ndio Watanzania wa kwanza kuchagua Mpinzani kwenda Bungeni 1994 Kwa kumchagua Hayati Dkt Kabourow
Pia ndio Mkoa ambao tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze haujawahi kukosa Mbunge wa Upinzani ndani ya Mkoa huo
Kwenye Uchaguzi wa 2010 ndio Mkoa uliompa Mpinzani Asilimia nyingi ya kura , Dlt Slaa alipata 48% ya kura za Mkoa wa Kigoma
Lakin Pia ndio Mkoa unaoongoza Kwa Wabunge hao wa Upinzani baadae kurudi CCM
Ukianza Na DkKabourow, Nzasugwanko, Machari, Kafulila n.k
Ahhha haah basi ilikuwa noma lkn too bad tuliofuatilia mpira baadae hatukuwahi kupata hata footage zake kuona uwezo wa jamaa kama tunavyomuona maradona leo au PereAliitwa Computer wakati huo hatujui hata Computer no kitu gani?
Heshima kwako Mkuu,Na Haji Manara Na Mpira wake wa Mdomoni
Watu wa Kigoma wamejaaliwa Vipaji Kila eneo walilopo
Kwenye Mpira, kwenye dini, kwenye ushirikina, kwenye ubishi, kwenye Biashara n.k
Hawa Jamaa Mkoloni angewapiga Shule Kama alivyofanya Kwa Wachagga Na Wahaya Pengine ingekuwa ishakitenga Kama Eritrea kutoka Ethiopia
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......
aka Homa ya jijiMakumbi Juma..