Ndio aliitwa Computer wakati Tanzania zilikuwa azijafika kipindi hicho, wengi walikuwa wanajua computer ni kifaa cha mahesabu (calculator) ndio wakampa jina ilo kwa mahesabu yake uwanjaniNasikia Sunday Manara alikuwa balaa sana enzi zake,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio aliitwa Computer wakati Tanzania zilikuwa azijafika kipindi hicho, wengi walikuwa wanajua computer ni kifaa cha mahesabu (calculator) ndio wakampa jina ilo kwa mahesabu yake uwanjaniNasikia Sunday Manara alikuwa balaa sana enzi zake,
AKA Bonga bongaaka Homa ya jiji
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1. Edibily Lunyamila
2. Seleman Matola
3. Wilfred Kidau
4. Alphonce Modest
5. Said Sued "Scud"
6. Nteze John
7......
Acha kudanganya!majina yake kamili ni Emmanuel Gabriel Mwakyusa nadhani umeshajua ni wa wapiEmanuel Gabriel
Pan AfricaHuyu kachezea timu gani?