Tujikumbushe walioishi siku 72 kwa kula maiti baada ya ajali ya ndege

Tujikumbushe walioishi siku 72 kwa kula maiti baada ya ajali ya ndege

Daa naikumbuka hiyo ajali niliiona documentary yake na movie pia. Yaani walikula kila kitu mpaka pombe zote na mwisho wakaanza Kula mpaka dawa za mswaki, na mwisho kuanza Kula nyama za wenzao

Nakumbuka mmoja wa abiria alimwambia rafiki yake “niahidi nikifa hutakula nyama yangu”
Bahati mbaya mmoja wapo alifariki. Hiki kisa kilinisikitisha sana kuzidi hata vita ya pili ambapo majeshi ya Japan walipokuwa wanawala wenzao baada ya kukosa chakula.



Sent from my iPhone using Tapatalk
Hiyo movie inakwenda kwa jina gani mkuu!
\
 
Njaa ilipowabana sana na maiti zikiwa nje maana barafu ilikuwa nyingi sana hakuna kuzika kwani ni kupoteza energy tu
Mmoja wao akachukua umma akatoka kimya kimya na kuikuta maiti iliyolazwa pale akachoma tako na kuchukua kipande cha nyama na kukitafuna, wakaanza kuhoji unafanya nini, akawaambia njaa. Mbona walianza kusogea na kuomba umma nao.


Sent from my iPhone using Tapatalk


Dah njaa ni balaa.
 
Naiangalia hapa. Haya mambo yaangalie kwenye movie tu. Yakikukuta live unaweza fanya zaidi ya walivyofanya
 
Njaa mbaya sana halafu ukiangalia wamemaliza kila kitu zamani. Baridi nayo usiseme walikuwa wanakula barafu kama ndio maji. Nilihuzunika sana nilipoangalia hiyo documentary.


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mhh kama we mwanaume ulihuzunika sana basi nahisi me sitoimaliza kabisa, nina machozi ya karibu mno
 
kabisa mkuu, wewe fanya kunipa majina tu badae niunge unlimited nizicheki
maana movies za romantic mara sci-fi sizielewi


Sent from my iPhone using JamiiForums

[emoji23][emoji23]
Kuna Babadook
The cabin in the woods
Ringu
The Blair witch project
Friday 13th

Yaani tena napenda kuangalia peke yangu maana sitaki ujinga wa watu kupiga kelele kwa woga


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mhh kama we mwanaume ulihuzunika sana basi nahisi me sitoimaliza kabisa, nina machozi ya karibu mno

Ni very emotional [emoji24]
Sikulia bali niliwasikitikia sana kwa madhila waliyoyapata. Kama ni matukio ya kweli kwa watu huwa Nina huruma sana ila kwa mimi yakinitokea huwa ninakubali matokeo na kusubiri what next kwa sababu nimeona mengi vitani. Angalia tu ndio unajifundisha hali halisi inayowatokea watu.

Kuna visa dunia hii. Yaani niliposoma comment nimemkumbuka mama mmoja Ethiopia wakati wa vita daa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni very emotional [emoji24]
Sikulia bali niliwasikitikia sana kwa madhila waliyoyapata
Kama ni matukio ya kweli kwa watu huwa Nina huruma sana ila kwa mimi yakinitokea huwa ninakubali matokeo na kusubiri what next kwa sababu nimeona mengi vitani
Angalia tu ndio unajifundisha hali halisi inayowatokea watu

Kuna visa dunia hii
Yaani niliposoma comment nimemkumbuka mama mmoja Ethiopia wakati wa vita daa


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mhh sidhani kama nitaweza, me kulia ni kitendo cha dk 0 tu machozi hayo yani sijui hata nikoje.
Emotional Movies me hapana kwa kweli 🙌
Hayo mambo ya jeshini ndio sitaki kusikia thoe napendaga tu kuyacheck kwenye movie
 
Mhh sidhani kama nitaweza, me kulia ni kitendo cha dk 0 tu machozi hayo yani sijui hata nikoje.
Emotional Movies me hapana kwa kweli [emoji119]
Hayo mambo ya jeshini ndio sitaki kusikia thoe napendaga tu kuyacheck kwenye movie

Pole sana lakini ni kawaida kwa nyie kulia
Ni kuonyesha unajali



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23]
Kuna Babadook
The cabin in the woods
Ringu
The Blair witch project
Friday 13th

Yaani tena napenda kuangalia peke yangu maana sitaki ujinga wa watu kupiga kelele kwa woga


Sent from my iPhone using Tapatalk

[emoji23]raha ya movie angalia mwenyewe
poa mkuu, nitaziangalia usiku nitaleta mrejesho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna movie yake very interesting aiseee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka miaka ya 90 kuna movie ilitoka kuhusiana na mkasa huu wa hawa wachezaji wa mchezo wa Rugby wa amerika waliokumbwa na mkasa huu. Kwa kweli dah! Inasikitisha balaa. Inasikitisha zaidi pale majeruhi wa ajali wakiwa wapo eneo la jangwa la barafu then hawana chakula na wenzao wanaanza kufa mmoja baada ya mwingine, wanazichukua maiti na kuhifadhi kwenye barafu. Walivumilia sana njaa lakini ndani ya muda tu ikabidi waanze kukata zile maiti na kuzila. Dah [emoji24][emoji24][emoji24]

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Ni very emotional [emoji24]
Sikulia bali niliwasikitikia sana kwa madhila waliyoyapata. Kama ni matukio ya kweli kwa watu huwa Nina huruma sana ila kwa mimi yakinitokea huwa ninakubali matokeo na kusubiri what next kwa sababu nimeona mengi vitani. Angalia tu ndio unajifundisha hali halisi inayowatokea watu.

Kuna visa dunia hii. Yaani niliposoma comment nimemkumbuka mama mmoja Ethiopia wakati wa vita daa


Sent from my iPhone using Tapatalk
Alifayeje mkuu 😭😭😭
 
Alifayeje mkuu [emoji24][emoji24][emoji24]

Una maana huyo Mama wa Ethiopia?
Wakati wa vita ya wao kwa wao wengi wao walibahatika kuikimbia vita ingawa wengi walikufa kwa njaa
Ila huyu mama alisikitisha sana maana alikuwa dhaifu sana na alikuwa na kichanga na mtoto alikuwa dhaifu sana kwa kutokupata chochote kwa mda mrefu
Mama hakuwa na maziwa kifuani kwa udhaifu aliokuwa nao
Alipoona mtoto anakaribia kufa kwa njaa akawa anamtemea mate yake ili apompoze njaa mtoto wake
Jamani vita muisikie tu kwani Ina mateso ya kila aina
Mama ashukuriwe kwa kila namna na tuwajali sana hatujui wamepitia mangapi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom