Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
njoo kwangu tuiangalie mkuu[emoji23]
tukimalZa hapo tunaangalia caannibal holocaust kabla ya kumalizia na SAW
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo movie inakwenda kwa jina gani mkuu!Daa naikumbuka hiyo ajali niliiona documentary yake na movie pia. Yaani walikula kila kitu mpaka pombe zote na mwisho wakaanza Kula mpaka dawa za mswaki, na mwisho kuanza Kula nyama za wenzao
Nakumbuka mmoja wa abiria alimwambia rafiki yake “niahidi nikifa hutakula nyama yangu”
Bahati mbaya mmoja wapo alifariki. Hiki kisa kilinisikitisha sana kuzidi hata vita ya pili ambapo majeshi ya Japan walipokuwa wanawala wenzao baada ya kukosa chakula.
Sent from my iPhone using Tapatalk
hiyo movie inakwenda kwa jina gani mkuu!
\
Njaa ilipowabana sana na maiti zikiwa nje maana barafu ilikuwa nyingi sana hakuna kuzika kwani ni kupoteza energy tu
Mmoja wao akachukua umma akatoka kimya kimya na kuikuta maiti iliyolazwa pale akachoma tako na kuchukua kipande cha nyama na kukitafuna, wakaanza kuhoji unafanya nini, akawaambia njaa. Mbona walianza kusogea na kuomba umma nao.
Sent from my iPhone using Tapatalk
Aisee kumbe mpenzi wa horrors kama mimi [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mhh kama we mwanaume ulihuzunika sana basi nahisi me sitoimaliza kabisa, nina machozi ya karibu mnoNjaa mbaya sana halafu ukiangalia wamemaliza kila kitu zamani. Baridi nayo usiseme walikuwa wanakula barafu kama ndio maji. Nilihuzunika sana nilipoangalia hiyo documentary.
Sent from my iPhone using Tapatalk
kabisa mkuu, wewe fanya kunipa majina tu badae niunge unlimited nizicheki
maana movies za romantic mara sci-fi sizielewi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhh kama we mwanaume ulihuzunika sana basi nahisi me sitoimaliza kabisa, nina machozi ya karibu mno
Mhh sidhani kama nitaweza, me kulia ni kitendo cha dk 0 tu machozi hayo yani sijui hata nikoje.Ni very emotional [emoji24]
Sikulia bali niliwasikitikia sana kwa madhila waliyoyapata
Kama ni matukio ya kweli kwa watu huwa Nina huruma sana ila kwa mimi yakinitokea huwa ninakubali matokeo na kusubiri what next kwa sababu nimeona mengi vitani
Angalia tu ndio unajifundisha hali halisi inayowatokea watu
Kuna visa dunia hii
Yaani niliposoma comment nimemkumbuka mama mmoja Ethiopia wakati wa vita daa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mhh sidhani kama nitaweza, me kulia ni kitendo cha dk 0 tu machozi hayo yani sijui hata nikoje.
Emotional Movies me hapana kwa kweli [emoji119]
Hayo mambo ya jeshini ndio sitaki kusikia thoe napendaga tu kuyacheck kwenye movie
[emoji23][emoji23]
Kuna Babadook
The cabin in the woods
Ringu
The Blair witch project
Friday 13th
Yaani tena napenda kuangalia peke yangu maana sitaki ujinga wa watu kupiga kelele kwa woga
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23]raha ya movie angalia mwenyewe
poa mkuu, nitaziangalia usiku nitaleta mrejesho
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alifayeje mkuu 😭😭😭Ni very emotional [emoji24]
Sikulia bali niliwasikitikia sana kwa madhila waliyoyapata. Kama ni matukio ya kweli kwa watu huwa Nina huruma sana ila kwa mimi yakinitokea huwa ninakubali matokeo na kusubiri what next kwa sababu nimeona mengi vitani. Angalia tu ndio unajifundisha hali halisi inayowatokea watu.
Kuna visa dunia hii. Yaani niliposoma comment nimemkumbuka mama mmoja Ethiopia wakati wa vita daa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Alifayeje mkuu [emoji24][emoji24][emoji24]