Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Wakuu,
Kipindi tunasoma shule msingi hadi kidato kuna watu walikuwa wataalamu wa kusingizia wanaumwa ili wasiende shule.
Wakati wa tukisoma pia sekondari kulikuwa na wajanja wana doji bwenini na wengine wanasingizia kuumwa hawaji darasani.
Tiririka hapa...