Tangu niko secondary Mi nilikuaga naumwa tu mpaka walimu walijua mi ni muathirika. kilichokua kinanipa jeuri ni ile kadi ya Bima Hadi yule dada wa hospital reception akawa kanizoea akawa mchumba wangu,ananipa tu yale makaratasi, na hiyo tabia ikafika mpaka Chuo nikiona test hazieleweki au nimekosa quiz nawahi kuchukua sick sheet huyo hospitali naenda kukusanya makaratasi nikija nayo kama 6 ivi wanajua huyu kweli alikua ana kipindupindu au Manjano, Kibaya zaidi hii Tabia hadi kazini bado inaniandama sijui lini itaniacha