Tujikumbushe wapenda kusingizia kuumwa na watoro shuleni

Tujikumbushe wapenda kusingizia kuumwa na watoro shuleni

Tangu niko secondary Mi nilikuaga naumwa tu mpaka walimu walijua mi ni muathirika. kilichokua kinanipa jeuri ni ile kadi ya Bima Hadi yule dada wa hospital reception akawa kanizoea akawa mchumba wangu,ananipa tu yale makaratasi, na hiyo tabia ikafika mpaka Chuo nikiona test hazieleweki au nimekosa quiz nawahi kuchukua sick sheet huyo hospitali naenda kukusanya makaratasi nikija nayo kama 6 ivi wanajua huyu kweli alikua ana kipindupindu au Manjano, Kibaya zaidi hii Tabia hadi kazini bado inaniandama sijui lini itaniacha
Hahahgq I think we have a lot in common, Mi mbaya zaidi ni mwembamba, nikilewa wkend j3 kazini hawanioni..Na sicksheet nnazo standby.. Sijui ntaacha lini
 
kuna siku nikaenda hospitali kufuata makaratasi ili kesho yake nisiende shule, nikakata kakadi kabisa nikakaa kwenye benchi la foleni.

Dakika kadhaa mbele anakuja sista du mmoja anakaa pembeni yangu kama dakika 20 tangu afike analetwa mwizi kapigwa na raia akaingizwa moja kwa moja kwa daktari. Dakika chache mbele yule sista du ghafla akadondoka chini akaanza kutoa povu mdomoni huku anatatarika.

Watu wakamtoa nje yule mwizi akaingizwa yule sista du ashughulikiwe, mi nikanyanyuka nikaondoka na kesho shule ikaendeka.
 
Nawewe hujawahi kuwahi mzigoni kama mimi? yani ni mchelewaji sugu hahahaha
Nikipokua seco siku nikiona kuna test basi naenda zangu kairuki hospt Tu.. maana Nilikua Na kadi ya bima ya maza,nikiamua wiki hii nanyoosha meno, wiki ijayo natafuta demantologist niondoe makovu..hadi nikawa mwenyeji Kwa kairuki Nilikua kadogo (hapo sisemi home) issue ikaja bumbuluka nilipokua navalishwa "ile graceless wire" cjui inaitwaje kiswahili..ilibidi apigiwe maza ndo kupokonywa kadi..nimekua MTU mzima ila nikiendaga Pale manesi wananijua wananiita MTT WA maza Mshua..Na KAZI yangu nimekua maarufu hua napata huduma fastrrrr..dah
 
Mimi nilikuwa sisingizii kuumwa nilikua natega kwenye pori hapo nipo msingi huko porin tupo wengi kama wanajeshi vile ila za mwizi zikifika zimefika kuna siku nikiwa na rafik zangu tulisikia saut kama nguruwe kumbe alikuwa nguruwe mwitu alivyotuona alitufuata kwa kasi na hasira kilichotokea hapo dah lile pori sikulitamani tena na nikaacha utoro
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu niko secondary Mi nilikuaga naumwa tu mpaka walimu walijua mi ni muathirika. kilichokua kinanipa jeuri ni ile kadi ya Bima Hadi yule dada wa hospital reception akawa kanizoea akawa mchumba wangu,ananipa tu yale makaratasi, na hiyo tabia ikafika mpaka Chuo nikiona test hazieleweki au nimekosa quiz nawahi kuchukua sick sheet huyo hospitali naenda kukusanya makaratasi nikija nayo kama 6 ivi wanajua huyu kweli alikua ana kipindupindu au Manjano, Kibaya zaidi hii Tabia hadi kazini bado inaniandama sijui lini itaniacha
Hahahaaa.. ngoja mwanao aje kukuiga
 
hahaha
nakumbuka niliwahi kuloweka kaptula ya shule ili nisiende shule kesho yake.
MOTHER alinivalisha hiyohiyo mbichi nikaingia skuli kama mgonjwa aisee.
hii ni baada ya janja yangu kugundulika.

hatari sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
daah umenikumbusha madrasa moja kuna Ostadh mmoja alikua anachapa saaana mshenz yule mpaka leo hata juzuu sijamaliza kwa sababu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikipokua seco siku nikiona kuna test basi naenda zangu kairuki hospt Tu.. maana Nilikua Na kadi ya bima ya maza,nikiamua wiki hii nanyoosha meno, wiki ijayo natafuta demantologist niondoe makovu..hadi nikawa mwenyeji Kwa kairuki Nilikua kadogo (hapo sisemi home) issue ikaja bumbuluka nilipokua navalishwa "ile graceless wire" cjui inaitwaje kiswahili..ilibidi apigiwe maza ndo kupokonywa kadi..nimekua MTU mzima ila nikiendaga Pale manesi wananijua wananiita MTT WA maza Mshua..Na KAZI yangu nimekua maarufu hua napata huduma fastrrrr..dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom