Tujikumbushe wapenda kusingizia kuumwa na watoro shuleni

Mimi sikuwahi kudodge shule. Tena hata nikiumwa nikiambiwa nilale naumwa nalia kabisa nataka kwenda shule. Nilikua napenda sana kusoma. Chuo yenyewe sijawahi kuskip hata assignment maana hata nilale saa kumi na moja kama nina kipindi saa moja lazima niende.
 
Nilichotaka kuandika Mungu anisamehe tu kwa kweli.
 
Mimi na pacha wangu tulikuwa hatutegi. Mama alikuwa mkali sana ukitega anakupeleka mwenyewe. Su unachagua upelekwe zahanati kwa aunty ukutane na sindano au uende shule.
Hapo utachagua nini?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseee mpaka kaz
 
Dhaaaaaaaa umenikumbusha mbali
Nkikumbuka kwalamahondo primary school yan Nataman tu miaka irud nyuma
 
Mimi na pacha wangu tulikuwa hatutegi. Mama alikuwa mkali sana ukitega anakupeleka mwenyewe. Su unachagua upelekwe zahanati kwa aunty ukutane na sindano au uende shule.
Hapo utachagua nini?
Kwenda kuzubaa juu ya maembe na
Kukimbiwa na miwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…