Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mimi sikuwahi kudodge shule. Tena hata nikiumwa nikiambiwa nilale naumwa nalia kabisa nataka kwenda shule. Nilikua napenda sana kusoma. Chuo yenyewe sijawahi kuskip hata assignment maana hata nilale saa kumi na moja kama nina kipindi saa moja lazima niende.