Tujikumbushe wapenda kusingizia kuumwa na watoro shuleni

Mhhhh uliwezaje wezaje
 
Ukiwa mwl au ofisini utakua mnoko sana ukiwa unaona watu wanavyotembea na sicksheet karibia kila wiki au mtu anayeingia kila siku baada ya mstari mwekundu
 
Bravo!!
 
Ukiwa mwl au ofisini utakua mnoko sana ukiwa unaona watu wanavyotembea na sicksheet karibia kila wiki au mtu anayeingia kila siku baada ya mstari mwekundu
Walaa. Ofisini mbona wala sio mnoko sema ukifanya kama inavyotakiwa wala sina shida na mtu. Ila O level nilikuaga kiongozi watu walikua hawanipendi hatari eti nilikua mnoko [emoji23][emoji23]
 
Mimi siyo primary tuu hadi chuo kikuu nilikuwa siendi quiz ikitolewa naenda hospital kufoji cheti then nasema nilikuwa mgonjwa.
Hahaha we kama nshakujua hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…