babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Anko j
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Charles hillary(charanga time)Mwaka 1994 Radio One FM Stereo ilikua radio station binafsi ya pili kuanzishwa baada ya Radio Tumaini iliyoanzishwa kwa majaribio mwaka 1993.
Ni dhahiri ilitokea kuteka Dar Es Salaam yote pamoja na mikoa mingine mitano ambayo ilianza nao kusikika yaani Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza na Tanga.
Ubunifu pamoja na Watangazaji machachari uliibeba sana Radio One Stereo enzi za 1994 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo ilikua haina mshindani licha ya kuongezeka kwa idadi ya radio station za binafsi apa DarEsSalaam na mikoani pia.
Kwa sasa watangazaji "wakongwe" waliobakia Radio One ni watatu tu, Aboubakar Sadiq-alitokea East Africa FM(Sikuhz yaitwa East Africa Radio),Deo Rweyunga pamoja na Abdallah Mwaipaya -alitokea PRT(Sikuhz inaitwa TBC FM)
Wafuatao ni baadhi ya watangazaji wa Radio One wa enzihizo waliotengeneza njia ya kizazi kipya cha utangazaji Tanzania;
-Mike Mhagama
-Taji Liundi
-Master Voice
-DJ Ommy
-DJ JD
-Aboubakar Liongo
-Abdallah Majura
-Rose Chitala
-Asia Mohammed
-Flora Nducha
-Leila Muhaji
-Janet Sostheness
-Sos B
-Basil Mbakile
-Masoud Masoud
-Mikidadi Mahmoud
-Amina Saleh
-Misanya Bingi
Ongezea na wengine.
ooh yes walitajwa mwanzo hadi mwisho. hakika lilikuwa sebene la nguvu. mwenye linkKuna ile jingle yao walikuwa wanawataja watangaziaji wao niliipenda sana...
Rose Chitalaa.... Atiche babujii... Sijui nimepatia
Radio one kibokoo yaaaoooKuna ile jingle yao walikuwa wanawataja watangaziaji wao niliipenda sana...
Rose Chitalaa.... Atiche babujii... Sijui nimepatia
Umenikumbusha uyu Alex ngusa jamani yuko huyudouble G, Godwin Gondwe na Alex Ngusa
Mwaka 1994 Radio One FM Stereo ilikua radio station binafsi ya pili kuanzishwa baada ya Radio Tumaini iliyoanzishwa kwa majaribio mwaka 1993.