Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

Mwaka 1994 Radio One FM Stereo ilikua radio station binafsi ya pili kuanzishwa baada ya Radio Tumaini iliyoanzishwa kwa majaribio mwaka 1993.
Ni dhahiri ilitokea kuteka Dar Es Salaam yote pamoja na mikoa mingine mitano ambayo ilianza nao kusikika yaani Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza na Tanga.

Ubunifu pamoja na Watangazaji machachari uliibeba sana Radio One Stereo enzi za 1994 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo ilikua haina mshindani licha ya kuongezeka kwa idadi ya radio station za binafsi apa DarEsSalaam na mikoani pia.

Kwa sasa watangazaji "wakongwe" waliobakia Radio One ni watatu tu, Aboubakar Sadiq-alitokea East Africa FM(Sikuhz yaitwa East Africa Radio),Deo Rweyunga pamoja na Abdallah Mwaipaya -alitokea PRT(Sikuhz inaitwa TBC FM)

Wafuatao ni baadhi ya watangazaji wa Radio One wa enzihizo waliotengeneza njia ya kizazi kipya cha utangazaji Tanzania;

-Mike Mhagama
-Taji Liundi
-Master Voice
-DJ Ommy
-DJ JD
-Aboubakar Liongo
-Abdallah Majura
-Rose Chitala
-Asia Mohammed
-Flora Nducha
-Leila Muhaji
-Janet Sostheness
-Sos B
-Basil Mbakile
-Masoud Masoud
-Mikidadi Mahmoud
-Amina Saleh
-Misanya Bingi

Ongezea na wengine.
Charles hillary(charanga time)
Moses justine papa Mo(RIP)(buzuku)
Peace kuyamba(miwani ya maisha)
 
Hao radio one walikuwa hawawakamtati radio free Africa enzi hizo
Utasikia wenyewe wakisema; RFA huuuuuu! Safi hiyo....... "Unasikiliza radio free Africa, hamna shida' Acha kabisa hii RFA ilikuwa mashine jamani tuacheni mas hala kabisa.
 
Kuna ile jingle yao walikuwa wanawataja watangaziaji wao niliipenda sana...

Rose Chitalaa.... Atiche babujii... Sijui nimepatia
Radio one kibokoo yaaaooo

Aliimbaga Papy Kocha hiyo jingle
 
R.i.p

Reginald Mengi
Julius Nyaisanga
Misanya Bingi
Moses Justine
Rehema Mwakangale
John Ngayoma
 
Mwaka 1994 Radio One FM Stereo ilikua radio station binafsi ya pili kuanzishwa baada ya Radio Tumaini iliyoanzishwa kwa majaribio mwaka 1993.
Ni dhahiri ilitokea kuteka Dar Es Salaam yote pamoja na mikoa mingine mitano ambayo ilianza nao kusikika yaani Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza na Tanga.

Ubunifu pamoja na Watangazaji machachari uliibeba sana Radio One Stereo enzi za 1994 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo ilikua haina mshindani licha ya kuongezeka kwa idadi ya radio station za binafsi apa DarEsSalaam na mikoani pia.

Kwa sasa watangazaji "wakongwe" waliobakia Radio One ni watatu tu, Aboubakar Sadiq-alitokea East Africa FM(Sikuhz yaitwa East Africa Radio),Deo Rweyunga pamoja na Abdallah Mwaipaya -alitokea PRT(Sikuhz inaitwa TBC FM)

Wafuatao ni baadhi ya watangazaji wa Radio One wa enzihizo waliotengeneza njia ya kizazi kipya cha utangazaji Tanzania;

-Mike Mhagama
-Taji Liundi
-Master Voice
-DJ Ommy
-DJ JD
-Aboubakar Liongo
-Abdallah Majura
-Rose Chitala
-Asia Mohammed
-Flora Nducha
-Leila Muhaji
-Janet Sostheness
-Sos B
-Basil Mbakile
-Masoud Masoud
-Mikidadi Mahmoud
-Amina Saleh
-Misanya Bingi

Ongezea na wengine.

Jina LA Rose chitala nilikuwa nakupenda saaaa......Abubakaleeeee sadikiiiii apiteeeee babujiiiii,Rose chitalaaaaa apiteeee Babujaaaaaa!
 
Regina Mziwanda (zamani akiitwa Regina Mweleka), Isack Gamba, Flora Nducha, Rose Chitala, Betty Mkwasa....
 
Back
Top Bottom