DOMINICK CHILAMBO - Kanda ya ziwa, kumbuka alivyokuwa akitangaza mpira Pamba maybe na simba/yanga au malindi ya zanzibar, utapenda utadhani na wewe uko uwanjani
Siku hizi sipendi hata kusikiliza mpira unaotangazwa redioni hauna mvuto kabisa
Kulikuwa pia na Sikiliza Bwana Umeme..anyway simkumbuki mtangazaji wake..Sikiliza Bibi Umeme - mtangazaji akiitwa Mwaraha
me binafsi nilikuwa napenda sana matangazo ya mpira wa miguu, watangazaji akina halima mchuka (r.i.p)
sued mwinyi, juma nkamia
Khaa!kumbe humu ndani kuna vitoto vingi namna hii lol!!Me nakumbuka mwaka 1996 na 1997 nilikuwa darasa la 1 na 97 nilikuwa darasa la 2, kulikuwa na kipind kinaitwa SAA TANO WAKATI WA KAZI basi ndo ilikuwa saa yangu yakuanza kuna kwenda mixer bi mkubwa kunikumbusha "wewe saa tano hiyo kaanze kuna uende shule" nilikuwa napata moto coz nilikuwa nimenogewa michezo!
Khaa!kumbe humu ndani kuna vitoto vingi namna hii lol!!