Kwa vijana wa zamani. Unakumbuka nini unapopitia majina haya? Je, yuko wapi kwa sasa? Unamkumbuka katika kipindi kipi kilichokufurahisha?
1. Bujaga Izengo Kadago
2. Debora Mwenda
3. Sarah Dumba
4. Julius Nyaisanga
5. Charles Hillary
6. Eshe Mhidini
7. Frolian Kaiza
8. Tumbo Risasi
9. David Wakati
10. Halima Kihemba
11. Betty Mkwasa
12. January Costantine
13. Lando Mabula
14. Ben kiko
15. Abubakary Lyongo
16. Sued Mwinyi
17. Abisai Stevin
18. Nswima Ernest
19. Malima Ndelema
20. Richard Leo
21. Ahmed Jongo
22. Christina Chokunogela
23. Shaban Kissu
24. Jacob Tesha
25. Sallim Mbonde
26. Sekion Kitojo
27. Omary Jongo
#Nakumbuka tu #saa mbili kasoro robo ktk kipindi cha/"phillips ndio yenyewe sauti safi sauti kubwa"palikuwa na miziki balaa kama "yekhekhe tu ya yekeyeke"
Ha!ha!ha! mgongo wanguu.........!Umenikumbusha mbali sana kaka wakati huo sh. mia inaitwa nyanga. Anyways mnayakumbuka na matangazo ya biashara na vipindi yaliyokuwa yanarushwa RTD kipindi hicho?
1. TANGAZO LA PEDI ZA JESI:
Wanawake kuweni na furahaaa, furahaaa, wakati wote popote na jesi,
Jesi, pedi mpya za kike za njano, ni nyororo raha kuvaa wakati wote......
2. TANGAZO LA DAWANOL
Mgongo wangu waniuma maumivu teleee, dawa ya maumivu dawa yenye nguvu dawa ni dawanol
3. TANGAZO LA SABUNI YA MSHINDI. n.k
MATANGAZO YA VIPINDI:
1. MASHIRIKA YA TAIFA: Mashirika ya taifa Tanzania yapo Mengi... na matangazo mengine mengi. Huwa natamani sana siku moja niende pale RTD nikaombe nipewe hayo matangazo niwe nayasikiliza tu mwenyewe ili niwe nakumbuka utotoni...DA INANIKUMBUSHA MBALI SANA
Mshamu alikuwa noma,halafu mzee mundu mbishi kupindukia full mfumo dume! kuna akina sijali ,havijawa!siwema binti mtayaona hadi raha!Dah, kitambo sana enzi za kina Hendrick Maiko Libuda, lakini nasahau jina la yule
Mtangazaji alitangaza mechi ya simba na Atletico sports Aviacao ya Angola ambayo
ilikuwa na wachezaji wakali kama Kanka wemba, Abilio Amanali, Gito, Libenge, Bravo
Yanda, Nero sijui nelo n.k
Wakati huo simba ilikuwa ni kina Abdul Mashine, Mohammed Mwameja, Hussein Masha, Yamadhani Leny
Damian Kimti, Mteze John Rungu, Malota Soma, Edward Chumila n.k
Umenifanya nivikumbuke vipindi maarufu kama HISIA NA MUZIKI, MAHOKA, PWAGU NA PWAGUZI
PITIO LA KITABU NA SAIF D KIANGO N.K
Debora mwenda sitamsahau kamwe kwa kukifanya kipindi cha mama na Mwana
kipendwe hata na watu wazima......... acha Bwana hadithi tamu kama Ua Jekundu,
Binti chura, Kibibi jitu n.k Enzi zimepita sasa watoto wanacheza viduku.
Pia ninawakumbuka waigizaji kama Mzee MUNDU, Mshamu, Matuga n.k
hapo kwenye pasco mayalla huyihuyu wa ppr na jf au,huyu sio alianzia itv? kawahi kupitia rtd kweli?
Duuh nimekumbuka wakati niko dogo...ilikua Simba wanacheza na Yanga...wadhamini alikuwa Said Salim Bakhresa alipofungua hotel yake ya kwanza anaingia jijini toka Pemba....Nawaz na Azam!!!!half time baada ya tangazo.. ile kurudi uwanjani Ahmed Jongo anatutangazia kijana mfupi, maji ya kunde aliyeshiba Omaar Husseeein "Keegan" anaipatia Yanga bao la kuongoza...zamani bongo raha sana sio siku hizi..kila sehemu matindikali haahaaha.....Nawaz na Azam karibu na kituo cha mabasi ya Temeke zamani hizo kiko hapo oppsite na shule ya uhuru na kota!
Jangala pia unamkumbuka? Kipindi Chao cha maigizo kilikuwa kinarushwa hewani saa tatu usiku kikifadhiliwa na kibuku kila jumapili usiku. Kuna siku mshamu alimvamia Baba yake jangala na wenzake wakampiga na kumwacha akimbie wenzake mshamu wakasema acha masiala bwana dingi lake mshamu linayeya kama pajero kesho take ikawa gumzo kitaa. Je na hili tangazo la bp pia una unalikumbuka? Mazungumzo baaada ya habari mmeletewa kutoka radio Tanzania dar es salaam. Enzi hizo tunaishi kota za Wazo hili tukicheza na watoto wa nizar karamagi wanakaa magorofani. Am 33 years now.
Salama Mfamao RIP
Aloysia Isabula
Aloysia Maneno
Peter Makorongo
Suleiman Kumchaya
Juma Ngondae RIP
Mshindo Mkeyenge
Abdallah Mlawa
Siwatu Luanda RIP
Salim Mbonde
Omary Masoud RIP
Pascal Mayalla
Adam Mwaibabile
etc....
mENEJA WA REDIO .........MOROGOROHalima Mchuka, Hassan Mkumbya hawa walishafariki.
David Wakati,
Hvi Julius Nyaisanga yuko wapi jama?
kipaji chake kakimalizia wapi...