wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 285
- 150
Nikitangaza kutoka tabora Mimi no Ben kikowa rrrrrrrrrrrrrrrrrredio tanzzzzaniaaaa.
Dah tulikuwa tunapenda sana kusikiliza RTD, kipindi cha Majira cha saa 3 usiku na 12 asubuhi.Tena cha saa 12 asubuhi ndo ulikuwa muda wa kujiandaa kwenda shuleni.
Julius Nyaisanga "Anko Jay"Iwe ni kwenye Radio au TV. Me naanza na hawa;
Misanya Dismas Bingi
Julius Nyaisanga "Anko Jay"
Halima Mchuka
Karibu uendelee...
Julius Nyaisanga "Anko Jay"
Halima Mchuka '' stoe lady hawa Mungu awaweke mahala pema.
Iwe ni kwenye Radio au TV. Me naanza na hawa;
Misanya Dismas Bingi
Julius Nyaisanga "Anko Jay"
Halima Mchuka
Karibu uendelee...
Sala dumba ndo nani unakichaa ww
Idrisa Sadalla-Mbeya anaifagilia Tukuyu stars,Chisunga Steven Kigoma anaifagilia rtc Kigoma,Ben Kiko Tabora- Milambo,Abissay Steven Songea_Majimaji,Chilambo Dominic Mwanza alikuwa anaifagilia sana Pamba sports club wana tp lindanda kawekamo,ilikuwa raha sana kusikiliza radio kipindi hicho.
Mkuu,umenitoa machozi.
Mkuu umenikumbusha huyo jamaa ilikuwa nikufungua kiss fm nikimsikiliza sichoki.. yupo vizuri sana.