Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Laura George,Suzan Mungi,Ahmed Kipozi,Mikidadi Mahmoud (brother MICK) Taji Liundi (master T) Faudhiyat Abood,Neema Diwani,Neema Mbuja.
 
Wapi, Leonard Mambombotera?

Umenikumbusha mbali aisee kipindi kile kwetu ilikuwa mwendo wa RTD masafa ya AM . Ukihamia SW unakutana na KBC-nairobi. KBC nilikuwa napenda kipindi fulani kilikuwa kinaitwa Eveready paka power show, ndani yake kulikuwa na segment ya "unga na majina ya kikwetu" mtangazaji alikuwa Fred. O. Machokaa(kama sijakosea). Pia yale matangazo ya harambee utasikia "......anawatangazia harambee kwa ajili mtoto aliyefaulu shule ya u-pili.....". Pamoja na hayo RTD nilikuwa nachelewa kulala ili ifike saa sita usiku wakati wanasitisha matangazo nisikilize wimbo wa Taifa au asubuhi saa kumi na moja wakati wanafungua matangazo na mengine meengi
 
Ezekiel Malongo (RTD)
Samadu hassan
John Marandu (reporter)
Nechi Lyimo
 
Kuna mwingine alikuwa anaitwa Dominic
Chilambo
,Beni Kiko
,Barnabas Simluge,
Salama Mfamao,
Ahmed Jongo
Malima Ndelema
Omari Jongo
Nazili Mayoka
Siwatu Luanda
Karim Besta
Halima kiemba
Halima Mchuka
Shafii Makosa
Zawadi Machibya
 
Laura George,Suzan Mungi,Ahmed Kipozi,Mikidadi Mahmoud (brother MICK) Taji Liundi (master T) Faudhiyat Abood,Neema Diwani,Neema Mbuja.
 
Back
Top Bottom