Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Kwa vijana wa zamani. Unakumbuka nini unapopitia majina haya? Je, yuko wapi kwa sasa? Unamkumbuka katika kipindi kipi kilichokufurahisha?

1. Bujaga Izengo Kadago
2. Debora Mwenda
3. Sarah Dumba
4. Julius Nyaisanga
5. Charles Hillary
6. Eshe Mhidini
7. Frolian Kaiza
8. Tumbo Risasi
9. David Wakati
10. Halima Kihemba
11. Betty Mkwasa
12. January Costantine
13. Lando Mabula
14. Ben kiko
15. Abubakary Lyongo
16. Sued Mwinyi
17. Abisai Stevin
18. Nswima Ernest
19. Malima Ndelema
20. Richard Leo
21. Ahmed Jongo
22. Christina Chokunogela
23. Shaban Kissu
24. Jacob Tesha
25. Sallim Mbonde
26. Sekion Kitojo
27. Omary Jongo
28. Abdalla Majura
29. Akadoga Chiledi 30. Alex Malimwene
31. Abdul Ngarawa 32. Abdalla Mlawa 33. Abdul Masood 34. Godfrey Mgodo
 
kuna wimbo flan amazing shambani shambani mazao bora shambaaaani wananch....tu........ duu long time.
 
Mtangazaji maarufu wa Televisheni ya Taifa, Aboubakar Mwanamboka, Amefariki Dunia leo saa 8 mchana katika hospitality ya Maweni Mkoani Kigoma.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Saa 10:00 jioni ya TBC Taifa.

RIP Aboubakar Mwanamboka.

Paskali
 
Taarifa ya Habari ya saa saba mchana ilikuwa ikianza na '' KWA MANUFAA YA UMMA RAISI AMEMUACHISHA KAZI..........." NDICHO KINACHOKUJA KWA WALA RUSHWA NA MAFISADI.
 
Halima Mchuka, Hassan Mkumbya hawa walishafariki.
David Wakati,

Hvi Julius Nyaisanga yuko wapi jama?
kipaji chake kakimalizia wapi...

Uncle J alienda Moro Abood TV baada ya mnyanyaso wa nguvu chini ya mdada ITV. Hta hivyo amesha RIP. Was such a nice presenbter
 
Salama Mfamao RIP
Aloysia Isabula
Aloysia Maneno
Peter Makorongo
Suleiman Kumchaya
Juma Ngondae RIP
Mshindo Mkeyenge
Abdallah Mlawa
Siwatu Luanda RIP
Salim Mbonde
Omary Masoud RIP
Pascal Mayalla
Adam Mwaibabile
etc....

Abdul Masoud alikuwa anatangsza vzr sana kipindi cha michezo wakamlamba shaba mbele ya familia yake. Lol!!! RIP Bro
 
Sijaona Elli Mboto, Mshindo Mkeyenge, David Wakati, Dastan Tido Mhando...
 
Back
Top Bottom